
Staa wa bongo fleva Ali Kiba ametangaza rasmi ujio wa wimbo wake mpya KIPUSA.mpaka sasa hajasema rekodi hii inatoka lini, itaanza video au audio na mtayarishaji ni nani,
Team Kiba wameonyesha furaha yao kuhusu ujio wa rekodi hii kupitia mitandao tofauti ya kijamii kama IG, Twitter na Facebook.
