REAL MADRID WAITANDIKA FC BARCELONA NA KUTWAA SUPER COPA 2017
Usiku wa August 16 2017 mchezo wa marudiano wa Super Copa kati ya Real Madrid dhidi ya FC Barcelonaulichezwa katika uwanja wa Santiago Bernabeu, kipindi ambacho FC Barcelona waliingia uwanjani wakiwa...
View ArticleRAILA ODINGA KUTINGA MAHAKAMANI KUPINGA MATOKEO YA URAIS NCHINI KENYA
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza kwamba muungano wake wa National Super Alliance (NASA) utawasilisha kesi mahakamani kupinga matokeo ya ushindi wa Rais mteule Uhuru Kenyatta...
View ArticleRATIBA YA MAPOKEZI YA MAJERUHI WA LUCKY VICENT
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ametoa ratiba ya majeruhi wa shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha ambao walikuwa nchini Marekani kimatibabu kufuatia ajali walioipata.Mhe. Nyarandu...
View ArticleMERCY MASIKA NA ANGEL BERNARD KUWAPOKEA MAJERUHI LUKY VICENT
Msanii wa muziki wa injii kutoka nchini Kenya, Mercy Masika pamoja na Angel Bernard wanatarajiwa kuudhuria hafla ya kuwapokea watoto walioenda kutibiwa nchini Marekani ambao walinusurika katika ajali...
View ArticleDIAMOND PLATINUMS ANAHUSIKA KUFANIKISHA KOLABO YA MADEE NA TEKNO
Msanii Madee amebainisha kuwa Diamond Platnumz anahusika kufanikisha kolabo yake na Tekno.Madee amesema haikuwa ngumu sana kumpata muibaji huyo kutoka Nigeria na pia si yeye aliyeangaikia kolabo hiyo...
View ArticleKUPIMWA UKIMWI NI LAZIMA NCHINI ZAMBIA
Rais wa Zambia, Edga Lungu ameamuru kuwa kila raia nchini humo ni lazima apimwe ugonjwa wa ukimwi ili kuliweka taifa katika uwazi kuhusu takwimu za waathirika .Rais wa Zambia, Edgar LunguZambia...
View ArticleHAMISA MOBETTO AKINUKISHA TENA MTANDAONI,MASHABIKI WAMCHARUA
Hamisa Mobetto anaendelea kupost picha zinazoonyesha tumbo lake la ujauzito lilivyokuwa kabla hajajifungua wiki iliyopita.Mlimbwende huyo wa Tanzania, amepost picha mbili katika mtandao wa Instagram...
View ArticleJANJARO AANIKA MAISHA YAKE, KUONJA PENZI LA UWOYA!
Janjalo.MOJA kati ya headline zilizosumbua kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni uhusiano wa kimapenzi kati ya chalii wa Ngarenaro-Arusha, Abdulaziz Chende ‘Dongo Janja’ na staa wa sinema za...
View ArticleVITA YA NBA NI OKTOBA 17, NI CURRY VS LEBRON
Lebron JamesNBA wametangaza ratiba ya Ligi yao ya msimu wa 20172018, ambayo itarushwa na vituo vitatu vya televisheni TNT, Kwese Sports na ESPN. Hii ni ligi ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA STUDIO YA STAA RAYVANNY WA WCB
Hizi picha za studio binafsi ya msanii wa WCB Wsafi, Rayvanny, Studio hii imepewa jina a Suprise Music, Producer kwenye studio hii ni Rash Doni
View ArticleALI KIBA ATANGAZA UJIO WA WIMBO MPYA ‘KIPUSA’
Staa wa bongo fleva Ali Kiba ametangaza rasmi ujio wa wimbo wake mpya KIPUSA.mpaka sasa hajasema rekodi hii inatoka lini, itaanza video au audio na mtayarishaji ni nani,Team Kiba wameonyesha furaha yao...
View ArticleCHECK PICHA MWANAJESHI AMVUA NGUO MREMBO HADHARANI BAADA YA KUMKUTA AMEVAA...
Picha inasambaa mitandaoni ikionyesha msichana akivuliwa nguo baada ya msichana huyo kuvaa nguo zinazofanania na sare za jeshi, Haijajulikana ni nchi gani au jeshi gani tukio hili lilipotekea
View ArticleRAIS MUGABE AISHANGZA DUNIA TENA,AFANYA TUKIO LA AJABU LIVE
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametangaza kuwa raia wote wa nchi hiyo waliokuwa wakituhumiwa kuwaua wazungu waliokuwa wakifanya biashara katika mashamba tangu kuanza kwa programu ya mabadiliko ya ardhi...
View ArticleUTAJIRI WA BILIONEA DANGOTE WAPOROMOKA ZAIDI YA NUSU
Aliko Dangote ana utajiri wa dola za Marekani bilioni 12.2 (trilioni 27), ambaye utajiri wake ni takriban asilimia 3 ya pato la Taifa la Naijeria, unamfanya awe mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa...
View ArticleKESI YA RUGEMALILA, SINGASINGA MAMBO MAGUMU MAHAKAMANI
Harbinder Singh Sethi maarufu kama ‘Singasinga’ (kulia) na mfanyabiashara James Rugemalira wakiwa kortini.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi, Agosti 17, 2017 imeahirisha kesi inayowakabili...
View ArticleJANJARO AANIKA MAISHA YAKE, KUONJA PENZI LA UWOYA
Janjalo.MOJA kati ya headline zilizosumbua kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni uhusiano wa kimapenzi kati ya chalii wa Ngarenaro-Arusha, Abdulaziz Chende ‘Dongo Janja’ na staa wa sinema za...
View ArticleMAHAKAMA YATOA UAMUZI HUU BAADA YA CHIDI BENZ KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imewaweka chini ya uangalizi kwa kipindi cha miaka miwili Msanii wa Bongofleva Rashid Abdalah maarufu Chidbenzi na wenzake watano baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha...
View Article