BUSIGER DRILLING COMPANY ni jibu lako sasa kwa huduma ya uchimbaji visiwa nchini Tanzania
Iwapo wewe ni taasisi ,kampuni ama mtu binafsi wahitaji kumiliki kisima cha maji cha kisasa kwa gharama nafuu zaidi ,usipate shida sasa
Ni wachimbaji maarufu wa visiwa vya kisasa kwa gharama nafuu zaidi
Wasiliana nasi kwa namba 0774100 100 tutakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania
Usipate shida kampuni hii imetua mjini Iringa kwa zaidi ya wiki mbili itaendelea kutoa huduma ya kuchimba visima virefu kwa gharama poa kabisa , waweza wapigia simu ama fika kituo cha Mafuta ya Hope Service Station jirani na banki ya CRDB