JAJI MKUU WA TANZANIA AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA MAHAKAMA KUU NCHINI .....
Jaji mku wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande............................................... Na Elizabeth NtambalaSumbawangaJAJI mkuu wa Tanzania Mohamed Chande amesema kuwa mahakama kuu Tanzania...
View ArticleUNA HABARI?: Manumba kesharejea kazini
Hatimaye hali ya afya ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini, Robert Manumba(Pichani juu), imeimarika na amerejea kazini, limeandika Mwananchi Akizungumza kwa njia ya simu, Msemaji wa...
View ArticleMchungaji Msingwa alia upendeleo TBC
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), amehoji ni lini serikali itarekebisha mwonekano ulioanza kujitokeza kwa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwa kutoa habari kwa kukipendelea...
View ArticleMKUU WA GENGE LA MATAPELI WANAOJIFANYA MAAFISA WA TAKUKURU ANASWA JIJINI...
Mtuhumiwa Simon Jumbe anayetajwa kujifanya afisa wa Takukuru.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kumnasa mtu mmoja ambaye anasadikika kuwa mkuu wa genge la...
View ArticleANGALIA PICHA YA JANUARI MAKAMBA AKIWA NA BIBI YAKE
"Nikizungumza na bibi yangu mzaa baba wikiendi iliyopita."
View ArticleMBUNGE WA CHADEMA AJIANDAA KULIPA KISASI CHA MWAKA JANA KUAMBIWA ANAPOKEA...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Zitto (Chadema) Kabwe ameonyesha nia ya kupinga ama kuikwamisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kutokana na hatua ya Serikali kugawa vitalu vipya kabla ya...
View ArticleRais Kikwete aongoza Sherehe za maadhimisho ya mifuko ya jamii
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadau na viongozi wa mifuko ya hifadhi ya jamii wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya Mifuko hifadhi ya ya jamii iliyofanyika mjini...
View ArticleSUGU, PROPESA JAY, ROMA MKATOLIKI WAPIGIWA DEBE KUALIKWA KATIKA SHOW YA LADY...
Joseph Mbilinyi aka "Sugu" Joseph Haule aka Proffessor Jay" R.O.M.A Mkatoliki Lady Jay Dee mwenyewe K na D wa Maujanja Saplayaz (Kulwa na Dotto)WAKATI wapenzi wa muziki wa kizazi kipya nchini...
View ArticleANGALIA PICHA ZA TUKIO ZIMA LA MLINZI ALIYEUAWAWA NA MAJAMBAZI O MOROGORO
MWILI WA MAREHEMU MICHAEL ATHMAN UKIWA KATIKA MEZA ENEO LA TUKIO BAR YA DAJARANI STOP OVER ILIYOPO KANDO YA MTO MOROGORO MZAMBARAUNI BAADA YA KUPIGWA NA KITU KIZITO NA KUSABABUSHA KUVUJA DAMU NA...
View ArticleRAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA KIWANDA CHA EAST COASTS OILS AND...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya MeTL Mh. Mohammed Dewji (Mb) wakati wakisubiri...
View ArticleMAJINA YA WANAFUNZI WA CBE NA UDSM WALIONASWA WAKIJIUZA ( MAKAHABA)
Wanafunzi wa kike wa chuo kikuu cha Dar es salaam [UDSM],Chuo cha elimu ya biashara [CBE]na chuo cha mamlaka ya Elimu na ufundi stadi [VETA],Dar es salaam ,wamefikishwa katika mahakama ya jiji samora...
View ArticleANGALIA PICHA KUSHANGAZA ZA WASANII WA ZE KOMEDI ZAZUA GUMZO AIBU TUPU
MASANII WA KUNDI LA ZE KOMEDY MASTER FACE AKIWA NA MMOJA WA WASICHANA HAO. HAPA MSANII KIWEWE AKIWA AMEWAKUMBATIA WABINT HAO KABLA YA KUINGIA NAO KWENYE MAJI MMOJA WA WASICHANA HAO ALIYEJITAMBULISHA...
View ArticleCCM YAKABIDHI MSAADA WA MIPIRA NA JEZI KWA BINGWA WA MKOA WA KILIMANJARO...
Mdau wa mpira wa miguu, Mwihava Hezron( aliyevalia Jezi ya bluu) akimkabidhi mipira mitano, Makamu Mwenyekiti wa Machava FC, Abuu Masoud (aliyevaa suti). mipira hiyo ni moja ya misaada iliyotolewa leo...
View ArticleHABARI NJEMA KWA WAKAZI WA MKOA WA IRINGA , ILE KAMPUNI MAARUFU YA UCHIMBAJI...
BUSIGER DRILLING COMPANY ni jibu lako sasa kwa huduma ya uchimbaji visiwa nchini Tanzania Iwapo wewe ni taasisi ,kampuni ama mtu binafsi wahitaji kumiliki kisima cha maji cha kisasa kwa...
View ArticleTeknolojia ya kisasa ya mawasiliano ndiyo mkombozi wa uchumi mataifa machanga...
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Vifaa vya Mtandao wa Teknolojia ya Kisasa ya Zhong Xing Telecommunication Equipment { ZTE }ya Nchini China Bwana Chen Jinsong akizungumza na Makamu wa Pili wa...
View ArticleWANAFUNZI 15 WAKAMATWA NA POLISI MBEYA
RPC Mbeya Diwani AthumanNa Esther Macha, MbeyaWANAFUNZI kumi na tano(15) katika shule ya sekondari ya Wazazi ya Lupata Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kuchoma...
View ArticleUnga mbovu bandarini kuondoshwa mwezi ujao
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na mjumbe wa kamati ya kudumu ya Baraza la Wawakilishi inayosimamia ofisi wa Viongozi wakuu wa Serikali, Ali Mzee Ali, wakati...
View ArticleDIWANI WA CCM KATA YA TITU KILOLO AFARIKI DUNIA
Chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Kilolo mkani Iringa kimpata pigo kubwa kufuatia kifo cha diwani wake wa kata ya Mtitu Marehemu Checo Ngimba.Taarifa ambazo mtandao huu wa...
View Article