Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

ANGALIA PICHA YA KIKONGWE AUWAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA WILAYANI KAHAMA.

$
0
0

 RADHI KWA PICHA HIZI ZA KUTISHA...

Bibi Lucia alivyokatwa panga
Mama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kukatwa Mapanga na watu wasiojulikana.
Tukio hilo la kutisha limetokea Usiku wa kuamkia juzi majira ya saa mbili usiku wakati bibi huyo akiwa na wajukuu zake wakipata chakula cha jioni.
Marehemu akiwa katika eneo alilokuwa akila chakula na wajukuu zake
Marehemu amepoteza maisha baada ya kukatwa panga sehemu ya bega lake la kushoto na Shingoni.
Sababu ya mauwaji hayo inaelezwa kuwa ni imani za kishirikina.
Wananchi wakiwa na uongozi wao wa Kijiji baada ya Tukio hilo la kutisha



CHANZO DUNIA KIGANJANI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>