Nelson Mandela aaga dunia
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ameaga dunia.Mandela amefariki huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliongoza Afrika Kusini kutoka mikononi mwa watawala wa ubaguzi...
View ArticleANGALIA PICHA YA JAMBAZI LAUWAWA KWA RISASI .
Mwili wa jambazi hilo Kijana mmoja ambaye hajatambulika jina lake mwenye umri kati ya miaka 26 hadi 30 ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akiwa na wenzake wakijaribu kuvunja duka maeneo ya Shunu, kata...
View ArticleRAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA MZEE MANDELA, ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO...
RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA MZEE NELSON MANDELA
View ArticleANGALIA PICHA YA KIKONGWE AUWAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA WILAYANI KAHAMA.
RADHI KWA PICHA HIZI ZA KUTISHA...Bibi Lucia alivyokatwa pangaMama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kukatwa Mapanga...
View ArticleUJUMBE WA WATAALAM KUTOKA JIMBO LA NANJING CHINA WAKUTANA NA RAIS
Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa Wataalam kutoka Idara ya Afya ya Jimbo la Nanjing,nchini China,waliofika Ikulu Mjini...
View ArticleCHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAKABIDHI TREKTA KWA VIJANA WA NJOMBE...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi funguo za Trekta kwa Mwenyekiti kwa vijana Tumsume Shemgogo lililotolewa na chama cha Mapunduzi CCM kwa vijana wa mkoa wa...
View ArticleWIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR YAFUNGUA KITUO CHA UTABIBU WA MIFUGO...
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yusuf Mzee akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa kituo cha utabibu na uzalishaji mifugo kiliopo Mangapwani Mkoa Kaskazini `B’ Unguja.Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na...
View ArticleNAFASI ZA KAZI NDANI YA SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA TFF
Career OpportunitiesTanzania Football Federation is Football Organization registered in the United Republic of Tanzania under the National Sports Council Act of 1967 as amended in 1971.TFF is...
View ArticleMALORI MANNE YA MIZIGO YAPATA AJALI JUZI KATIKA DARAJA LA WAMI
Gari aina ya Fuso likiwa limepinduka Juzi Jumanne mara baada ya tairi la mbele kuchomoka Eneo la Wami Darajani pembeni ni gari aina ya fuso ambalo likuwa likibeba mizigo iliyokuwa imebebwa na fuso...
View ArticleANGALIA PICHA ZIKIONYESHA WAOMBOLEZAJI NCHINI SOUTH AFRICA WAKIMLILIA MANDELA
A nation mourns: South African president Jacob Zuma tells the world of Mandela's passing in this screen grab of his Thursday address Nelson Mandela has died at his home in Johannesburg, South Africa...
View ArticleMZEE NELSON MANDELA -SHUJAA WA AFRIKA AFARIKI DUNIA!
Mzee Nelson “Madiba” Mandela amefariki dunia kwa mujibu wa CNN mzee Madiba amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 95.Kwa mujibu wa Rais wa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema mzee Mandela...
View ArticleTWEET YA RAIS KIKWETE BAADA YA KIFO CHA NELSON MANDELA, ISOME HAPA
Marehemu Nelson Mandela.
View ArticleWALICHOANDIKA RIHANNA, AKON, T-PAIN, LUDACRIS, R KELLY, ASHANTI, MISSY...
Mwanamuziki Robert Sylvester Kelly "R. Kelly" akiwa na Nelson Mandela enzi za uhai wake.
View ArticleNelson Mandela: David Cameron calls Madiba a 'hero'
David Cameron meets Nelson Mandela in 2008. In 1989, he visited South Africa on a trip funded by an anti-sanctions lobbying group. Photograph: Johnny Green/PANelson Mandela's daughter, Zinzi, has...
View ArticleSIMULIZI ZA MZEE MADIBA: SIKU MANDELA ALIPOFIKA NYUMBANI KWA NYERERE MSASANI.
Na Maggid Mjengwa,Mandela alikuwa njiani kuelekea Addis Ababa kwenye mkutano ambao ANCC walialikwa rasmi. Ni mkutano wa PAFMESCA ambao ungeshirikisha nchi na viongozi wengi wa nchi za Afrika zilizokuwa...
View ArticleMAMA KIKWETE AITAKA JAMII YA AFRIKA YA MASHARIKI NA KUSINI KUWALEA WATOTO WA...
Na Anna Nkinda- Cape Town , Afrika ya Kusini Jamii imetakiwa kushirikiana kwa pamoja na kuchukua hatua za karibu kwa kuwalea watoto wa kike kama watoto wao wa kuwazaa huku wakiwapa nafasi kama...
View Article