Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

KATIBU WA MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA...!

$
0
0
Waombolezaji ndugu na jamaa wakitoa jeneza na aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Hospital ya rufaa ya mkoa wa Iringa  leo.

Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani kwake Gangilonga Iringa  leo kwa heshima za mwisho


Mwenyekiti  wa CCM mkoa  wa  Iringa Jesca msambatavangu kulia akilia kwa uchungu kushoto ni mwenyekiti wa CCM Iringa mjini Abed Kiponza.










Askari akiweka  sahihi  katika kitabu  cha maombolezo leo.


Add caption

mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Dr Christina Ishengoma kulia akimpa  pole mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu kwa  kifo cha aliyekuwa katibu wa CCM mkoa Bw Emanuel Mteming'ombe


Meneja  wa Tanroad mkoa wa Iringa Paul Lyakurwa akisaini kitabu cha maombolezo  leo



Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>