Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIINGILIO MECHI YA MTANI JEMBE 5,000/-

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga itakayochezwa Jumamosi (Desemba 21 mwaka huu) ni sh. 5,000. Kiingilio hicho ni kwa viti vya rangi ya kijani ambavyo ni 19,648.Kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABIRIA WOTE WA KWENYE KIVUKO WAMEOKOLEWA BADO MIZIGO NA MAGARI

Kivuko kikubbwa cha Mv Magogoni kimepoteza mwelekeo wake, kwa kawaida huwa kinatokea kivukoni na kuelekea kigamboni... lakini  leo kimepoteza mwelekeo nakuelekea njia ya Meli kubwa, abiria wote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utafiti wa Kisayansi wagundua nusu ya wanafunzi darasa la Saba hawawezi...

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dakta.Shukuru Kawamba..Utafiti huo uliozinduliwa Dar es Salaam, unaonyesha pia kuwa asilimia kumi na moja ya wanafunzi wa darasa la saba hawawezi kufanya hesabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA JINSI ILIVYOKUWA NDANI YA PANTONI BAADA YA KIVUKO KUPOTEZA...

 Ilikuwa ni mida ya saa nane mchana ambapo Pantoni kubwa ya Mv. Magogoni ikiwa imesheheni abiria ikiwavusha kutokea Posta kuelekea Kigamboni , ilipatwa na wakati mgumu baada ya kushindwa kutia nanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZAIDI YA JINSI NDEGE YA ETHIOPIA AIRLINE ILIVYOCHIMBA UWANJA WA...

Muonekano wa ndege ya Ethiopian Airline baada ya kutua kwa dharura.Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANITE YAWASILI JOHANNESBURG KUIVAA BATSESANA!!

Kikosi cha wachezaji 20 na viongozi tisa cha timu ya Tanzania ya wasichana chini ya miaka 20 (Tanzanite) kimewasili leo jijini Johannesburg tayari kwa mechi dhidi ya wenyeji Afrika Kusini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA AWALI VURUGU ZA MALINYI MKOANI MOROGORO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAARIFA YA AWALI KUHUSIANA NA TUKIO LILILOTOKEA MALINYI MKOANI MOROGORO.Mnamo tarehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WAWILI WANAODHANIWA NI MAJAMBAZI WAULIWA KWENYE KIJIJI CHA MANGA, MKOANI...

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela, akionyesha bunduki ya kijeshi aina ya SMG no.34555 iliyokuwa ikitumiwa na watu wawili wanaodhaniwa kuwa majamabazi katika kijiji cha Manga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rage atuma Polisi kuzuia mkutano wa viongozi,Polisi wawaweka chini ya ulinzi...

Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage ametuma Polisi kuzuia mkutano wa viongozi wa matawi uliokuwa unafanyika kwenye makao makuu ya klabu hiyo jioni hii.Mkutano huo ulioitishwa na Kaimu makamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB YATOA MADAWATI SHULE YA MSINGI MAKUBURI JESHINI

Hivi karibuni, Benki ya NMB imeukabidhi Uongozi wa shule ya msingi Makuburi Jeshini jijini Dar es Salaam msaada wa madawati yenye thamani ya shilingi million tano. Madawati ambayo yatasaidia kupunguza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONANZA LA VIONGOZI WA MICHEZO WANAWAKE AFRIKA LAFANA!!

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na Wanahabari katika Bonanza la Viongozi Wanawake wa Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NI NCHI YA KWANZA BARANI AFRIKA KWA SAFARI ZA UTALII , SERENGETI NA...

 Kaimu mkurugenzi  mkuu  wa hifadhi  za Taifa (TANAPA ) Dr Ezekiel Dembe ( kulia) akimakabidhi  Bi Jane Mwakinyuke kutoka Hifadhi ya Taifa Mikumi , cheti  cha  kuhitimu mafunzo  ya mwezi mmoja ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHABIKI YANGA WASHINDA AIRPORT WAKIMSUBIRI OKWI BADALA YAKE WAJIKUTA...

MASHABIKI kadhaa wa Yanga leo wameshinda Uwanja wa Ndege wakisubiri kumpokea Emanuel Okwi lakini hakutokea badala yake walijikuta wakimpokea beki wa Simba Gibert Kaze.Mashabiki hao walifika uwanjani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 19.12.2013

CHANZO MATUKIO BLOGCHANZO MATUKIO BLOGCHANZO MATUKIO BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA

Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Bw. Emanuel Mteming'ombe. Bw. Mteming'ombe enzi za uhai wake.KATIBU  wa  chama cha mapinduzi  (CCM) mkoa  wa  Iringa Bw Emanuel Mteming'ombe amefariki  dunia katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Angalia Post ya January Makamba kuhusu habari mpya juu ya Sim Card Tax

 Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alivyotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia hili suala.Naibu Waziri mwenye dhamana ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AENDA MAREKANI KWA UCHUNGUZI WA AFYA

 Rais Jakaya KikweteTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya jana, Jumatano, Desemba 18, 2013, kwenda Marekani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. FENELLA AFUNGA SEMINA YA WAZAZI MORO

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari, VIjana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Kawe,  Benjamin Joseph,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA KUVUNA MIL 90 CAF KWA DAKIKA 90 TU...!

Katibu Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu (kulia) akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga. Kushoto ni mwakilishi wa kampuni ya SGM Bw. Francis GoithaKlabu ya Young Africans SC imeingia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU WA MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA...!

Waombolezaji ndugu na jamaa wakitoa jeneza na aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Hospital ya rufaa ya mkoa wa Iringa  leo.Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani kwake Gangilonga Iringa  leo kwa...

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>