Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

ANGALIA PICHA JINSI WAHUNI WALIVYOIBA VIFAA VYOTE KWENYE GARI YA MSANII NEY WA MITEGO

$
0
0
IMG-20131220-WA0001
Msanii wa Hip Hop, Nay Wa Mitego usiku wa kuamkia jana ameibiwa vifaa vya gari lake aina ya Toyota Verossa lenye namba T 418 CGK vyenye thamani ya shilingi milioni 4 lililokuwa limeegeshwa nyumbani kwake.Nay ameiambia Bongo5 kuwa jana aliliacha salama wakati anaenda kulala lakini alivyoamka leo asubuhi,akakuta limenyofolewa baadhi ya vifaa. Hizi ni picha za gari la Nay baada ya kuporwa baadhi ya vifaa vyake.

k
kp

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>