SOMA RIPOTI YA KAMATI YA BUNGE KUHUSU MATATIZO YALIYOTOKANA NA OPERESHENI...
TAARIFA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUHUSU TATHMINI YA MATATIZO YALIYOTOKANA NA OPERESHENI TOKOMEZA_____________________1.0 UTANGULIZIMheshimiwa Spika, wakati Bunge...
View ArticleANGALIA PICHA JINSI WAHUNI WALIVYOIBA VIFAA VYOTE KWENYE GARI YA MSANII NEY...
Msanii wa Hip Hop, Nay Wa Mitego usiku wa kuamkia jana ameibiwa vifaa vya gari lake aina ya Toyota Verossa lenye namba T 418 CGK vyenye thamani ya shilingi milioni 4 lililokuwa limeegeshwa nyumbani...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAPOKEZI YA ZITTO ALIVYOTUA KIGOMA MUDA HUU
Mbunge wa Kigoma kaskani Mh Zitto Kabwe akisalimiana na wakazi wa Kigoma mara baada ya Kuwasili kigoma asubuhi ambapoa wakazi wa kigoma wamejitokeza kwa wingi kumpokea Mbunge wao Zitto Kabwe akiwa...
View ArticleBREAKING NEWZ: MHUNGAJI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI HUKO RORYA.
MCHUNGAJI wa Kanisa la Apostolic lililoko mji mdogo wa Shirati wilayani Rorya, Mkoa wa Mara, ameuawa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia jana. Hata hivyo, Kamanda...
View ArticleMWENYEKITI WA YANGA YUSUFU MANJI KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO
Mwenyekiti wa Yanga, Yusufu Manji''Kocha Brandts''MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji ameitisha mkutano na wanahabari akitaka akuzungumzia pambano la jana dhidi ya Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe...
View ArticlePINDA ATANGAZA VITA NA WALAFI SERIKALINI, 866 WASHUGHULIKIWA..
Mizengo Pinda.Watumishi 866 wa serikali wamechukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria kwa ubadhirifu wa fedha katika halmashauri mbalimbali nchini.Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri Mkuu...
View ArticleHOTUBA YA MH ZITTO KABWE – KIGOMA – 21 DESEMBA 2013
Sehemu ya Vijana wakiandaman kwa furaha muda mfupi baada ya kumpokea mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuwasili kigoma leo Baaadhi ya Madreva bodaboda mkoani kigoma...
View ArticleSPIKA WA BUNGE APOKEA MAGARI MAWILI YA KUBEBEA WAGONJWA
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuzindua matumizi ya magari mawili ya kubebea wagonjwa yaliyonunulia na Ofisi ya Bunge. Pembeni ni Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge ambaye pia ni...
View ArticleKAULI YA MANJI BAADA YA KIPIGO CHA JANA TOKA KWA SIMBA CHA BAO 3-1
Mwenyekiti wa Yanga Bw.Yusuf Manji akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu, kushoto ni makamu mwenyekiti Clement SangaMwenyekiti wa klabu ya Young Africans Bw. Yusuf Manji ameaomba...
View ArticleMH. LOWASSA ASHIRIKI TAMASHA LA WAENDESHA BODABODA JIJINI DAR LEO
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki za kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE ALIUMBUA GAZETI LAA TANZANIA DAIMA KWA KUANDIKA HABARI ZA...
Nimesikitishwa sana na jinsi Gazeti la kaka yangu Mbowe (Tanzania Daima) la leo Disemba 20, 2013 lilivyotumia jina langu kutafuta mapato na labda kwa nia nyingine.Gazeti hilo katika ukurasa wake wa...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA AMWONYA SPIKA ANNE MAKINDA
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amemwonya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuacha kutumia vibaya fedha za Serikali kwa kuwapa posho wabunge kwa ajili ya kwenda kwenye...
View ArticleUNYAMA ZAIDI WABAINIKA OPERESHENI TOKOMEZA
Unyama zaidi umebainika katika taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili baada ya kubainika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
WILAYA YA MOMBA – MAUAJI.· KUFUATIA TUKIO LA MAUAJI LILITOKEA MNAMO TAREHE 19.12.2013 MAJIRA YA SAA 14:00HRS HUKO KATIKA ENEO LA TAZARA -TUNDUMA KATA NA TARAFA YA TUNDUMA WILAYA YA MOMBA...
View ArticleSERIKALI IRINGA KUWACHUKULIA HATUA KALI WAFANYABISHARA WATAKAO PANDISHA BEI...
RC Iringa Dr Christine IshengomaNA FRANCIS GODWIN BLOGMkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma ametuma salama kali za Krismas na Mwaka mpya kwa wafanyabiashara watakaopandisha bei ya...
View ArticleALEX MSAMA:SOLOMON MAHLANGU KUTOKA AFRIKA KUSINI KUTUA KESHO
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa tamasha la Krismas Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam wakati alipoelezea maandalizi...
View ArticlePicha na habari kamili kuhusu vifo vya watu 10 vilivyosababishwa na na ajali...
Mwonekano wa dalaldala kwa nyuma. Watu kumi wamefariki dunia, wanane kati yao papo hapo na wengine 16 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha mabasi ya kampuni ya Bunda na Ally, mkoani...
View ArticleLIGI KUU ENGLAND TOTTENHAM WAIBUKIA KWA SOUTHAMPTON.ADEBAYOR APIGA 2
Southampton 2 Tottenham 3: Detemined: Emmanuel Adebayor stares down some Southampton fans after putting Spurs levelGoal! Adebayor stretched to reach Soldado's cross and poked it homeDelight: Tim...
View Article