Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuzindua matumizi ya magari mawili ya kubebea wagonjwa yaliyonunulia na Ofisi ya Bunge. Pembeni ni Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. William Lukuvi.


Katibu wa Bunge na Spika wakikagua magari hayo. Katikati ni muuguzi mwandamizi kutoka Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Bi. Cecilia Sanya.
(Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge)