Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

UTENDAJI KAZI WA MBUNGE FILIKUNJOMBE WAWAVUTIA WAPIGA KURA WAAMUA KUMBEBA MGONGONI

$
0
0
Wananchi  wa kata  ya Manda  Ludewa wakimfuta  jasho  mbunge  wao  Deo Filikunjombe kama  kumpongeza kwa utekelezaji  mzuri wa ahadi  na uwakilishi  uliotukuka bungeni 
Mbunge wa  jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa amebebwa na mpiga kura  wake kama  kumpongeza kwa utendaji wake mzuri 
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akifurahia  baada ya  kupongezwa kwa  kubebwa mgongoni na mpiga kura wake
Mbunge Filikunjombe kati  akipokea  zawadi ya  mbuzi  kutoka kwa  mkazi wa manda huku mkewe Habiba 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>