LORI LA MAFUTA LAKAMATWA LIKISAFIRISHA VIPODOZI HATARI
Baadhi ya vipodozi vilivyokamatwa Mifuniko ya tenki la mafuta ikiwa imefunguliwa baada ya kutolewa vipodozi Ndani ya lori hilo baada ya kutolewa vipodozi hivyo Kamanda wa polisi mkoa wa...
View ArticleBRANDTS AWAGOMEA YANGA DAR!!
Brandts ambaye yupo katika kuitumikia notisi ya siku 30 aliyopewa na uongozi wa Yanga ikiwa ni mpango wa kumuondoa katika cheo chake hicho. KOCHA Mkuu wa Yanga Ernie Brandts, amegoma kuendelea na kazi...
View ArticleMARUFUKU KULIPUA FATAKI MKESHA WA MWAKA MPYA..
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku ulipuaji wa fataki wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya, kutokana...
View ArticleMKUTANO WA WAENDESHA BODABODA NA MHE JANUARY MAKAMBA WAFANA JIJINI MWANZA
Naibu wa Waziri wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia January Makamba.Kabla ya kongamano hilo madereva hao wa bodaboda walifanya maandamano toka makao makuu ya ofisi zao yaliyopo mtaa wa malango mmoja...
View ArticleUTENDAJI KAZI WA MBUNGE FILIKUNJOMBE WAWAVUTIA WAPIGA KURA WAAMUA KUMBEBA...
Wananchi wa kata ya Manda Ludewa wakimfuta jasho mbunge wao Deo Filikunjombe kama kumpongeza kwa utekelezaji mzuri wa ahadi na uwakilishi uliotukuka bungeni Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo...
View ArticleASHANTI UNITED YATOA KADI ZA UANACHAMA, WAPENZI WA KANDANDA WAOMBWA KUJIUNGA !!
Na Baraka Mpenja wa Fullshangwe, Dar es salaamTel: 0712461976 au 0764302956WAPENZI wa soka nchini wameombwa kujitokeza kwa wingi kuomba kadi za uanachama katika klabu ya Ashanti United yenye makazi...
View ArticleJANUARY MAKAMBA AJIPIGIA DEBE LA URAISI KIAINA ..........SOMA HAPA ALICHOKISEMA!
Mwanza. Katika kile kinachoonekana kama kujipigia debe katika kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewaambia...
View ArticleHUU NI UGONJWA HATARI!!~ TAZAMA HAPA AKIFANYIWA OPESHENI BAADA YA NYAMA KUBWA...
Bwana mmoja aliefahamika kwa jina la Huan Chuncai mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa jimbo la Hunan anasumbuliwa na tatizo la nyama kukua kwa kasi katikakichwa chake hususan maeneo ya uso,ugonjwaambao...
View ArticleHUU NDIO UJUMBE MZITO ALIOACHA JACKIE CLIFF KABLA YA KUDAIWA KUKAMATWA NA...
Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na kuamua...
View ArticleLIGI KUU ENGLAND MAN CITY WASHINDA WAPANDA KILELENI
Man City 1 Crystal Palace 0Easy does it: Manchester City striker Edin Dzeko sweeps the ball past Julian Speroni to give his side the lead against Crystal PalaceMan of the moment: Dzeko (right)...
View ArticleMANCHESTER UNITED WAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ,WAICHAPA NORWICH
Norwich 0 Man United 1:Goal! Danny Welbeck scored soon after coming on to win the game for Manchester UnitedDelight: Welbeck's goal gave David Moyes' side the lead in the second halfAhead: The United...
View ArticleMaggid Mjengwa azindua kitabu cha Simulizi za Mzee Mandela leo
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ikolo Investment,Maggid Mjengwa akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhulia kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa Kitabu cha "Simulizi za Mzee Mandela" kilichoandikwa na Maggid...
View ArticleHATIMAYE TV IMAAN YAPEWA KIBALI CHA KUANZA UJENZI,TAARIFA KAMILI HII HAPA
Picha chini ni CEO wa Tv Imaan Br Ally Ally Ajiraan akionesha bahasha ya barua waliopewa na Tume ya mawasiliano Tanzania (TCRA) yenye maelezo kuhusu Tv Imaan.Na chini ni barua yenyewe. Hii ni ishara...
View ArticleMh. Lowassa audhuria mazishi ya kada wa ccm monduli
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu David Pelo Kivuyo aliekuwa Diwani wa zamani wa Makuyuni.Pelo ambaye pia aliwahi kuwa...
View ArticleTumsilaumu Jackie Cliff, tumlaumu aliyemfundisha kuvua samaki, fahamu...
Jackie Cliff… mrembo wa haja niliyeanza kumfahamu kwenye video ya She Got A Gwan ya Ngwair. Ni msichana aliyeenda hewani na Mungu kampelea haswaa. Ukikutana naye huwezi kumwangalia mara moja...
View ArticleMKWASA, PONDAMALI, WATAMBULISHWA RASMI KWA WACHEZAJI KUANZA KUINOA YANGA LEO
Uongozi wa Young Africans SC umepata warithi wa nafasi tatu za benchi la ufundi (Charles Boniface Mkwasa, Juma Pondamali na Dr. Suphian Juma), huku wakiendelea na mchakato kumpata kocha mkuu ambaye...
View ArticleCARDIFF CITY YATEUA OLE GUNNER SOLSKJAER KUWA MENEJA WAO MPYA
KLABU ya Cardiff City imethibitisha kumteua Ole Gunner Solskjaer kuwa meneja mpya wa klabu hiyo. Solskjaer anachukua nafasi ya mikoba ya Malky Mackay ambaye alitimuliwa na mmiliki wa klabu hiyo ya...
View ArticleCHADEMA YATOA MAELEZO KUHUSU PINGAMIZI ALILOWEKA ZITTO KABWE MAHAKAMANI
Mmoja wa wanachama watatu wa CHADEMA waliovuliwa nafasi zao za uongozi ndani ya chama, Zitto Kabwe kupitia kwa Wakili wake, Alberto Msando, leo ameanza kufanya ‘FORUM SHOPPING’ kwa kupeleka maombi...
View ArticleANGALIA PICHA HOFU YA KUONEKANA KITU KINACHODHANIWANI KUWA NI BOMU...
Vikosi Maalum Vya Ulinzi na Usalama Wakiangalia kwa makini na kuondoa kitu kilichodhaniwa kuwa ni bomu kwenye kituo cha mabasi Shekilango jijini Dar es Salaam, kwenye makutano ya Barabara za Morogoro...
View ArticleZANZIBZR YENYE NEEMA YAJA BALOZI SEIF ALI IDDI AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA NJE.
Makamu wa Pili mwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika sekta ya Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege ya ALTEC...
View Article