Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu David Pelo Kivuyo aliekuwa Diwani wa zamani wa Makuyuni.Pelo ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, alifariki tarehe 22 Desemba na kuzikwa nyumbani kwake Makuyuni leo Desemba 28.Alifariki kutokana na maradhi ya shirikisho la damu.
Chanzo;michuzi blog