Baada ya kutolewa hukumu ya kesi ya Zitto Kabwe zidi ya CHADEMA kuna matukio mbali mbali ambayo yametokea.Matukio hayo yametokea baada ya mahakama kuu kuamuru chadema kurudisha shauri kuu la Zitto Kabwe kujadiliwa katika Baraza Kuu kama yeye alivyotaka. Wakili Albert Msando ameibuka kuwa shujaa leo na kuonyesha kuwa yeye ni zaidi kuliko wakili wa chadema Tindu Lissu.
![]() |
ZITTO NA ALBERT MSANDO |
![]() |
WAFUASI WA ZITTO |
![]() |
Askari Wakituliza fujo |