Shukuru kwa kupewa afya nzuri, tazama ugonjwa wa ajabu unavyomtafuna mtu huyu...
Wakati mwingine binadamu huwa tunajisahau kumshukuru Mungu kwa afya nzuri aliyotupa bila kujua kuwa wapo watu duniani wanaoteseka mno. Mwanaume huyu wa nchini Indonesia ambaye mwili wake umefunikwa na...
View ArticleMatatani kwa kumfananisha Rais na Kiazi
Rais Michael SataKiongozi mmoja wa upinzani nchini Zambia, amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kumchafulia jina Rais wa nchi hiyo Michael Sata baada ya kumfananisha na ViaziFrank Bwalya anadaiwa...
View ArticleANGALIA PICHA YA UNYAMA...KIKONGWE ACHINJWA KAMA KUKU HUKO KAHAMA,,,,UCHAWI...
I Mwanamke mmoja Alifahamika kwa jina la Milembe Jengamalulu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50-55, mkazi wa Ulowa no 4 wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga umri wa miaka 50-55, amefariki dunia baada...
View ArticleKUFURU: KLABU KUMNG’OA LIONEL MESSI KWA EURO 400 MILIONI
JEURI ya pesa. Ndicho unachoweza kusema baada ya klabu tajiri Ulaya, Paris Saint-Germain na Manchester City kudaiwa kuwa zipo tayari kumng'oa, Lionel Messi, kutoka Barcelona kwa gharama yoyote...
View ArticlePICHA: MTU ALIYEKUWA MNENE NA MWENYE UZITO MKUBWA DUNIANI.......ni mnene sio...
Paul-Mason mwenye miaka53, kabla ya kupunguzwa unene kwa upasuaji maalum Hapo Juu...Paul-Mason, baada ya kufanyiwa upasuajiBaada ya kufanyiwa upasuaji huo alitakiwa kufanyiwa upasuaji wa kupunguza...
View ArticleMAZOEZI YA YANGA TANGANYIKA PAKERS
KATIKA kuanza kwa programu mpya ya mazoezi kikosi cha Yanga siku ya jana kimewakosa baadhi ya nyota wa timu hiyo akiwemo Didier Kavumbagu, na Telela wakiwa wanasumbuliwa na magonjwa lakini Athumani...
View ArticleYALIYOTOKEA BAADA YA ZITTO KABWE KUSHINDA KESI ZIDI YA CHADEMA
Baada ya kutolewa hukumu ya kesi ya Zitto Kabwe zidi ya CHADEMA kuna matukio mbali mbali ambayo yametokea.Matukio hayo yametokea baada ya mahakama kuu kuamuru chadema kurudisha shauri kuu la Zitto...
View ArticleWAZIRI WA UCHUKUZI DR. MWAKYEMBE ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM
Mhe. Mwakyembe.KITENGO Cha Usalama wa Taifa Nchini kinatarajia kuogeza nguvu katika kuimarisha ulinzi katikaviwanja vya ndege nchini ili kukabiliana na wimbi kubwa la usafifirishaji wa dawa za kulevya...
View ArticleZITTO AIBUKA KIDEDEA DHIDI YA CHADEMA MAHAKAMA KUU
Zitto Kabwe akipeana mikono na Wakili wa CHADEMA,Tundu Lisu baada ya kukibwaga chake chake. Wakili wa chama cha CHADEMA,Mh Tundu Lisu akizungumza na vyombo vya habari nje ya Mahakama kuu Kanda ya Dar...
View ArticleMAASKOFU WAMTEMBELEA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI NYUMBANI KWAKE ZANZIBAR.
Mratibu wa Dua Maalum ya kuiyombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka mpya wa 2014 Allen Mbaga akizungumza na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi walipomtembelea na kumuombea...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
WILAYA YA CHUNYA – WIZI WA GARI.MNAMO TAREHE 06.01.2014 MAJIRA YA SAA 15:00HRS HUKO ENEO LA KUEGESHA MAGARI YA KAMPUNI YA SUNSHINE MINING LTD KATIKA KIJIJI CHA MATUNDASI, KATA YA MATUNDASI,...
View ArticleNMB YAIBUKA KIDEDEA KATIKA KUWASILISHA TAARIFA YA FEDHA 2012
Meneja wa Fedha wa Benki ya NMB, Deogratias Usangira akipokea Tuzo kutoka kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Goodluck Ole Medeye. Benki ya NMB imepokea tuzo hii ya ushindi...
View ArticleHIKI NDICHO ALICHOSEMA MWANASERIA WA CHADEMA BAADA YA MHE ZITTO KABWE...
JANA Januari 7 ni siku ambayo Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam, ilitoa uamuzi juu ya Kesi iliyokuwa ikiwahusu Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Chadema juu ya madai yao,mara baada ya...
View ArticleVIONGOZI WA KITAIFA AKIWEMO RAIS KIKWETE WADAIWA KUDAGANYWA KATIKA MAZISHI YA...
Hili ni gari la JWTZ lililobeba mwili wa waziri Dr Wiliam Mgimwa kutoka uwanja wa Ndege Nduli hadi kijiji cha Magunga nyumbani alikozaliwaNdege aliyotumia rais Dr Jakaya Kikwete ikitua uwanja wa...
View ArticleANGALIA PICHA KIJANA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO KWA KUPIGWA NA SHOTI YA UMEME...
Hapa ni baada ya TANESCO kufika eneo la tukio.mwili wa kijana huyo aliyefariki kwa shoti ya umeme ukiwa chiniMwili wa marehemu ukiwekwa kwenye machela ili kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti ktk...
View ArticleHAYA SASA MLIOAJIRIWA SERIKALINI HAYA NDIYO MAVAZI RASMI MNAYOTAKIWA KUVAA
Muongozo wa mavazi kwa watumishi wa UMMA ambao naona pia unapply kwa wageni wano tembelea ofisi hizo. Je imewahi kukutokea umekwenda ofisi fulani ya UMMA ukarudishwa , kukatikaliwa kuingia na...
View ArticleIGP MANGU AFANYA KIKAO CHA KWANZA NA WATENDAJI WA JESHI LA POLISI WALIO CHINI...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akizungumza na Maofisa, Wakaguzi , Askari na watumishi raia wa Jeshi la Polisi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam na...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZOAANZA ZIARA YA...
Afisa Elimu Mkoa wa Pwani Bw.Yussuph Kipengele akiteta jambo na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Bi.Beatha Swai wakati wa ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo...
View ArticleDR. SHEIN ASHIRIKI UZINDUZI WA TAASISI YA MWAHARAKATI BIBI BINTI SAAD,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,alipohudhuria katika Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi...
View Article