Muongozo wa mavazi kwa watumishi wa UMMA ambao naona pia unapply kwa wageni wano tembelea ofisi hizo. Je imewahi kukutokea umekwenda ofisi fulani ya UMMA ukarudishwa , kukatikaliwa kuingia na kuhudumiwa ofisini hapo sababu ya vazi lako?
Source: www.tanzania.go.tz