Hatimaye filimbi imepulizwa... Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza kuwa vyama vya siasa vianze mchakato wa maandalizi ya uchaguzi huo. Kata 23 katika wilaya/halmashauri 19 kushindaniwa: Mchakato wa ndani ya vyama umeishaanza; kuchukua form za uteuzi wa wagombea kuanzia tarehe 2 january hadi 15, jan, 2014 (siku ya uteuzi), kabla ya saa 10:00 Alasiri; Uteuzi wa wagombea jan, 15; kampeni 16 january hadi 8 february; Uchaguzi tarehe 9 february.11. Ushetu-bugomba
- segela - Chamwino;
- Mpwayungu - Chamwino;
- Ukumbi - Kilolo;
- Ibumu - Kilolo;
- Nduli - Iringa;
- Malindo - Rungwe;
- Santilya - Mbeya;
- Tungi - Morogoro;
- Mkwiti - Tandahimba;
- Mkongolo - Kigoma
Watu wote wenye nia ya kugombea majimbo husika ni muda muafaka kujipima uwezo wao wa kunadi wagombea katika majimbo yao. Kazi kwenu.....Sourc: Jamiiforum