MAANDALIZI YA BUNGE LA KATIBA: KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AFANYA UKAGUZI...
Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(Shati la Kitenge) akifanya ukaguzi wa ukarabati wa Jengo la Ofisi za Utawala za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipotembelea jana Januari 07,...
View ArticlePINDA AKUTANA NA WAZIRI WA NISHATI WA ALGERIA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini wa Algeria, Youcef Yousif (kuilia kwake) na Ujumbe wake,Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 8,2013. Kushoto kwake ni...
View ArticleTANZANIA KUSHIRIKIANA NA ALGERIA KIUCHUMI
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia ) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Aliyekaa upande wa kushoto ni Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria Mhe. Youcef...
View ArticleIGP MANGU AWATAKA ASKARI KUFUATA MISINGI NA MAADILI YA KAZI
Na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi.Maofisa na Askari Polisi kote nchini wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi za Polisi ili kuweza kuendelea kutoa huduma bora kwa...
View ArticleWADAU WA AFYA SINGIDA WARIDHIA MPANGO WA TIBA KWA KADI (TIKA)
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye uzinduzi wa mpango wa Tiba kwa kadi (TIKA) katika halmshauri ya manispaa ya Singida uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque...
View ArticlePOLISI ARUSHA YAZIDI KUIMARISHA VIKUNDI VYA ULINZI SHIRIKISHI
Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi ArushaKatika kile kinachooneka kuzidi kuhamasisha na kuimarisha Ulinzi na Usalama maeneo mbalimbali ya Mkoa huu, Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Polisi Jamii...
View ArticleCRISTIANO RONALDO ATIMIZA MABAO 400 KATIKA SOKA LA KULIPWA - AMFUNIKA RONALDO...
Cristiano Ronaldo amefikisha mabao 400 tangu aanze kucheza soka la kulipwa usiku wa Jumatatu baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa ushindi wa 3-0 wa Real Madrid dhidi ya Celta katika La...
View ArticleYANGA YATOA MILIONI 10 KWA WARATIBU WA KOMBE LA MAPINDUZI.
Uongozi wa klabu ya Dar es salaam Young Africans leo umepiga hodi visiwani Zanzibar kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa kina kwa waratibu wa michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuamua kujitoa dakika za...
View ArticleRAMADHANI SINGANO AIPELEKA SIMBA NUSU FAINALI YA MAPINDUZI CUP.
Mbali ya Azam FC timu nyingine zilizofanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali jioni ya leo ni URA na KCC zote za Uganda baada ya kupata ushindi dhidi ya KMKM NA Tusker ya Kenya katika michezo yao ya robo...
View ArticleGWIJI WA BRAZIL RONALDINHO ASAINI BESIKTAS.
Nyota wa zamani wa Barcelona Ronaldinho amejiunga na klabu ya Besiktas ya nchini Uturuki kwa usajili huru.Gaucho mwenye umri wa miaka 33 amesaini mkataba wa miaka 2 na nusu kujiunga na Besiktas...
View ArticleKWA MARA YA KWANZA QATAR KUANDAA KOMBE LA DUNIA 2022 KATIKA MAJIRA YA BARIDI.
KATIBU mkuu wa Shirikisho la Soka Duniani-FIFA, Jerome Valcke amedai kuwa michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini Qatar 2022 haitafanyika mwezi Juni na Julai kama ilivyozoeleka badala yake...
View ArticleYANGA KUONDOKA ALFAJIRI KWENDA UTURUKI BILA CHUJI NA WENGINE WATATU
MSAFARA wa zaidi ya watu 32 wa Yanga SC unatarajiwa kuondoka kesho alfajiri kwenda Uturuki kwa kambi ya wiki mbili, kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara pamoja na Ligi ya...
View ArticleVYAMA VYA SIASA NCHINI VYAJISAHAU CHAGUZI NDOGO ZA MADIWANI, WAKALIA...
Hatimaye filimbi imepulizwa... Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza kuwa vyama vya siasa vianze mchakato wa maandalizi ya uchaguzi huo. Kata 23 katika wilaya/halmashauri 19 kushindaniwa: Mchakato wa...
View ArticleMUHTASARI WA KESI YA ZITTO KABWE VS CHADEMA
JANUARI 2, mwaka huu Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ilitoa zuio la muda kwa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutojadili uanachama wa aliyekuwa Naibu Katibu...
View ArticleDR. SHEIN WEKA JIWE LA MSINGI MNARA WA KUMBU KUMBU YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitambulishwa kwa mshauri wa Ujenzi wa kampuni ya Hab Consult Bw.Habib Nuru,Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa...
View ArticleIAA AND TPDF SIGNS MOU TO EQUIP MILITARY PERSONNEL WITH STRATEGIC STUDIES
A group photo of members of military and IAA staff members after the signing ceremony early today.The Command and Staff College (CSC) Commandant Maj General Kyunga signs a document of Memorandum of...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA RUNGWE MH.CHRISPIN MEELA AONGOZA WANANCHI KATIKA MAZISHI YA...
MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKITOA SALAM ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA MAREHEMU NA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA HASA WILAYA YA RUNGWE PIA KWA WANANCHI WOTE KWA KUSHITUSHWA NA KIFO CHA...
View ArticleANGALIA PICHA MCHUNGAJI AKIWALISHA NYASI WAUMINI WAKE ..AMA KWELI IMANI NI...
God forgive for saying this, but how stupid can some people be? And how do you follow and obey another human being so blindly? A pastor in South Africa, Pastor Lesego Daniel (you will find his pics...
View ArticleTANGAZO TOKA KWA MKURUGENZI WA MANISPAA YA KINONDONI KWENA KWA WAZAZI WOTE...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni anawatangazia Wazazi wote wenye watoto waliofaulu mtihani wa Darasa la saba na kukosa nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza na ambao wako tayari kujiunga na...
View ArticleTANGAZO LA MAFUNZO YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA-SAYANSI NA HISABATI...
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA KWA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, anatangaza...
View Article