1962 - 2014 |
BAADHI YA WATOTO WA MAREHEMU WAKIWA IBADANI KWA AJILI YA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MAMA YAO |
KULIA PAROKO MSAIDIZI PROJESTUS KAHITWA AKIONGOZA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEHEMU BENADETHA OLOMI |
SAFARI YA KUELEKEA KAMBINI TUKUYU MJINI KWA AJILI YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU |
MUME WA MAREHEMU MR EZEKEEL KALABAN MWANDETELE |
WATOTO WAMAREHEMU WAKITOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO KWA MAREHEMU MAMA YAO KIPENZI |
ASKOFU WA DAYOSISI YA KONDE KKKT DR ESRAEL MWAKYOLILE AKITOA HESHIMA ZA MWISHO |
AFISA USALAMA WA TAIFA WILAYA YA RUNGWE AKITOA HESHIMA ZA MWISHO |
KUELEKEA KWENYE NYUMBANI KWAKE MAREHEMU NA MUMEWE KIJIJINI KWAO SYUKULA JUU KWA AJILI YA MAZIKO NI KARIBU SANA NA KILELE CHA MLIMA RUNGWE |
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED MSANGI AKIWEKA UDOGO KATIKA KABURI LA MAREHEMU BENADETHA OLOMI |
HESHIMA ZA MWISHO ZA KIJESHI BAADA YA MAZIKO |
HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU |
JULIANA NANKOMA HAKIMU WA MAHAKAMA YA MWANZO TUKUYU AKITOA SALAM ZA RAMBIRAMBI |
MUONEKANO WA MIJI YA KKK NA SOGEA UKIWA KIJIJINI SYUKULA KIJIJI KILICHOPO MLIMANI RUNGWE NA HII PICHA IMEVUTWA SANA ILI KUONA KWA UKARIBU |
KINGOTANZANIA
0752881456