Basi la kampuni ya Saadia linalofanya safari zake kati ya Lindi na dar limepata ajali maeneo ya ya kijiji cha mwanambaya baada ya kugongana na gari dogo na kupelekea kifo cha dereva wa gari hiyo ndogo,Abiria waliokuwa kwenye basi hiyo wote ni wazima na hakuna kifo wala majeruhi.