Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA TAHADHARI YA MVUA KUBWA NA UPEPO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIASimu: 255 22 2460735/2460706FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAMTovuti:...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

WILAYA YA KYELA – MAUAJI.MNAMO TAREHE 12.01.2014 MAJIRA YA SAA 05:00HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA LEMA NA KATA YA NGANA, TARAFA YA NTEMBELA, WILAYA YA  KYELA,  MKOA WA MBEYA. BICCO S/O MWAKIBIBI, MIAKA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA UJUMBE WA ALGERIA – MERERANI

Meneja Mradi wa Kampuni ya TanzaniteOne Bw. Erenet Emmanuel Mtawali (mwenye kofia nyekundu) akiueleza ujumbe wa Algeria namna mitambo ya kusafisha na kuzalisha madini ya Tanzanite (haupo pichani)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA WAZIRI WA ZAMANI WA ISRAEL "ARIEL SHARON" ALIVYOZIKWA

Ibaada maalum ya aliyekuwa waziri mkuu nchini Israel Ariel Sharon imefanyika nje ya majengo ya bunge la Israel. Bwana Sharon atakumbukwa kwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa taifa la Israel lakini pia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNYIKA AWEKA WAZI KWAMBA UCHAGUZI CHADEMA TAIFA UTAFANYIKA BAADA YA UCHAGUZI...

Akijibu Swali la Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi lililohoji "Chadema Inatarajia Kufanya lini Uchaguzi wake wa Kitaifa, Kwa Sababu NCCR-Mageuzi wao Wametangaza tayari Uchaguzi wao"...Akijibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMBAZI LAUA WATATU AKIWAMO MKUU WA UPELELEZI WILAYA YA NEWALA.

Kamanda Zelothe Stephen.Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa watu watatu akiwamo Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Newala wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu anayesadikiwa kuwa ni jambazi muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM MJINI ZANZIBAR

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo mjini Zanzibar ,pamoja na mambo mengine Kamati Kuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAMOUD THABITI KOMBO KUGOMBEA UWAKILISHI KIEMBESAMAKI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha mgombea wa nafasi ya uwakilishi wa jimbo la Kiembesamaki Ndugu Mahmoud Thabit Kombo  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI::BASI LA SAADIA LAPATA AJALI NA KUUA MMOJA

Basi la kampuni ya Saadia linalofanya safari zake kati ya Lindi na dar limepata ajali maeneo ya ya kijiji cha mwanambaya baada ya kugongana na gari dogo na kupelekea kifo cha dereva wa gari hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Cristiano Ronaldo Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Dunia

Na mshindi ni …. Cristiano Ronaldo. Usiku wa leo jijini Zurich, FIFA itamtangaza nyota huyo raia wa Ureno kuwa mwanasoka bora wa dunia kwa mwaka 2013 ambayo itakuwa tuzo yake ya pili.Cristiano Ronaldo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RONALDO

View Article

ANGALIA VIDEO RONALDO AKITANGWAZWA MCHEZAJI BORA WA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA MKOLONI NAMNA LILIVYOTIA FORA SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

 "Askari wa kikoloni", akipewa adhabu ya push up baada ya kuboronga wakati wa gwaride. Hili lilikuwa igizo lililoendeshwa na askari polisi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KCC WABEBA KOMBE LA MAPINDUZI BAADA YA KUMRARUA SIMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Nahodha wa timu ya KCC ya Uganda, Kawooya Fahad, Kombe la Mapinduzi baada kumalizika kwa mchezo wa Fainali wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

NA MILLADAYO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA UDAKU LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 14.01.2014

 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA BASI LA NA LORI HUKO SINGIDA

Taarifa inasema abiria 28 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa kwenye ajali ya hili basi la Shabiby baada ya kugongana na lori la mafuta lililokua tupu hivyo kupinduka kwenye kijiji cha Kisaki kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA KUIVAA ALTAY SK JUMATANO

Yanga wakijifua Uturuki leo, picha na Baraka Kizguto, Ofisa Habari wa Yanga SC Na Baraka Kizuguto, AntalyaMABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara na vinara wa ligi hiyo msimu huu, Yanga SC ya Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO AMBAYE ANAISHI MAKABURINI MAENEO YA YOMBO DAR

WAKATI sehemu ya makaburi imekuwa ikiogopwa na watu wengi kutokana na ukweli kwamba ni makazi ya wafu, hali ni tofauti kwa mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 8-9 ambaye jina...

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>