$ 0 0 Hiyo ni huko kwa wenzetu,uchumi umeyumba inabidi wabane matumizi ili kuweza kuendesha maisha yao ya kila siku, Boda boda za Tanzania wanapenda mshikaki lakini huu ni hatari.. HII nayo ni style ya wapi?Hapo ni kama msemo usemao sungura kambeba tembo