DEREVA BODA BODA ANUSURIKA KIFO
Pikipiki ikiwa chini ya uvungu wa gari baada ya kuburuzwa Dereva wa pikipiki hiyo Bw Ndiba akihojiwa Ndiba akizunguza na bosi wake mmiliki wa pikipiki hiyo Bw Nassoro Setembo[kulia] Polisi...
View ArticleWAZIRI MKUU AKAGUA MAREKEBISHO YA UKUMBI WA BUNGE KWA AJILI YA BUNGE LA...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18,2014 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao.Waziri Mkuu,...
View ArticleYANGA KUIVAA KS FLAMURTARI
Young Africans kesho itashuka dimbani kucheza na timu ya KS Flamurtari Vlore inayoshika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini Albania ikiwa ni sehemu ya mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAMBO YA WALIMWENGU
Hiyo ni huko kwa wenzetu,uchumi umeyumba inabidi wabane matumizi ili kuweza kuendesha maisha yao ya kila siku, Boda boda za Tanzania wanapenda mshikaki lakini huu ni hatari.. HII nayo ni style ya...
View ArticleIkulu yaitisha mkutano na wanahabari kesho Jumapili
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleKIFIMBO CHA MALKIA CHAWASILI NCHINI LEO, KUPELEKWA IKULU KESHO
Rais wa TOC, Rashid Gulam, (katikati) akikabidhiwa kifimbo cha Malkia na Mjumbe wa Baraza la Michezo la Jumuiya ya Madola Kipchoge Keino (kulia)wakati kilipotua nchini kikitokea Rwanda jana kwenye...
View ArticleLIGI KUU ENGLAND : MANCHESTER CITY 4 vs CARDIFF CITY 2
Edin Dzeko akishangilia bao lake kwa Manchester City likiwa bao la 100 kwa msimu 2013-2014 Mchezaji Jesus Navas nae akishangilia bao la pili kwa City baada ya kufunga bao hilo dhidi ya Cardiff City
View ArticleCHELSEA vs MANCHESTER UNITED, REFA NI PHIL DOWD HUKO STAMFORD BRIDGE
Kocha wa Man United David Moyes amethibitisha kuwa Man United itawakosa Mastraika wake wakubwa, Wayne Rooney na Robin van Persie, ambao bado kuwa fiti baada kukabiliwa maumivu kwa Wiki kadhaa sasa.Man...
View ArticleSUNDERLAND YATOKA SARE NA SOUTHAMPTON 2-2
Kipindi cha kwanza dakika ya nne Jay Rodriguez anaipatchikia bao timu yake ya Southampton akiwa ndani ya box. Bao hilo limepatikana baada ya kupewa basi safi kutoka kwa Morgan Schneiderlin. Dakika ya...
View ArticleMTIBWA SUGAR WAICHAPA SIMBA TAIFA
MTIBWA Sugar imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba kwenye mchezo wa kirafiki kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa leo.Simba...
View ArticleRSENAL 2 vs FULHAM 0, SANTI CAZORLA AIBAKISHA GUNNERS KILELENI
Mchezaji wa Arsenal Santi Cazorla akishangilia bao lake huku akikimbizwa kupongezwa na Olivier Giroud baada ya kuiwasha Fulham leo jumamosi jioni kwenye mchezo wa Ligi kuu England. Kipindi cha...
View ArticlePANGUAPANGUA YA JK LIANA ACHOMOLEWA ARUSHA, MAKATIBU WAWILI WAENDA KUWA MARAS
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleKIKWETE AMPELEKEA SALAMU ZA RAMBIRAMBI LUBUVA KWA KUFIWA NA MKEWE
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleNAPE AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA MAGOMENI WILAYA YA BAGAMOYO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM wilaya ya Bagamoyo alipowasili kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za udiwani kata ya Magomeni. Katibu wa NEC Itikadi...
View ArticleKANUSHO LA DKT. CYRIL AUGUST CHAMI KUHUSIANA NA YANAYOELEZWA KWENYE MTANDAO...
Naitwa Cyril August Chami (PhD) Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini na Mjumbe wa NEC-CCM kupitia Wilaya ya Moshi Vijijini.Nimesikitishwa na kufadhaishwa sana na mtu au watu waliotengeneza akaunti kwa...
View ArticleMTANGAZAJI HUYU WA BBC FOCUS ON AFRIKA AFARIKI DUNIA
BBC TV presenter Komla Dumor has died suddenly at his home in London at the age of 41, it has been announced.Ghana-born Dumor was a presenter for BBC World News and its Focus on Africa programme.One of...
View ArticlePresident Obama Signs the Consolidated Appropriations Act of 2014
President Obama delivers remarks before signing into law the Consolidated Appropriations Act of 2014, which provides fiscal year 2014 appropriations for projects and activities of the federal government.
View Article