Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb), Akiweka sahihi katika kitabu maalum mara baada ya kuwasili katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi leo, anayefuatia (kulia) Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Pereira Ame Silima (mb). (Picha na Demetrius Njimbwi, Jeshi la Polisi.)