MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MOROGORO AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA LUDEWA...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM wilaya ya Kilosa alipowasili kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za udiwani kata ya Ludewa.Mwenyekiti wa...
View ArticleOBAMA ASEMA BANGI NI BORA KULIKO POMBE. SOMA ALICHOKISEMA ZAIDI HAPA
President Barack Obama wa Marekani amesema kuvuta bangi ni salama zaidi kuliko kunywa pombe lakini akawasisitizia mabinti zake kwamba hilo sio wazo zuri pia ambapo kwa mujibu wa gazeti la The Mirror,...
View ArticleAJALI YA BAJAJI YAUA MMOJA YAJERUHI WAWILI IRINGA USIKU WA KUAMKIA LEO
 Majeruhi wa ajali ya Bajaji Iringa Karim Raphael (14) mkazi wa Mshindo ' A' katika Manispaa ya Iringa akiwa katika Hospital ya Rufaa ya mkoa wa Iringa Majeruhi wa ajali ya Bajaji Idd...
View ArticleMAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO
 Kutoka kushoto: Flora Mtegoa, Lulu na Lucresia Karugila katika pozi.ULE udugu wa ukubwani kati ya wazazi wa mastaa wa filamu Bongo, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ na Flora Mtegoa ‘Mama Kanumba’...
View ArticleMUIGIZAJI MAARUFU WA ISIDINGO AFARIKI DUNIA LEO! ALIKUWA AKIISHI NA VIRUSI!
Lesego Motsepe (Lettie Matabane), enzi za uhai wakeMwaka 2011 Lettie aliwahi kujitangaza kuwa anaishi na Virusi vya UkimwiAliyekuwa muigizaji maarufu katika Tamthilia ya Isidingo The Need ya Afrika...
View ArticleYANGA IMEKAMILISHA ZIARA YA UTURUKI KWA KUFUNGANA MABAO 2 - 2 NA SIMURQ PIK
Young Africans imekamlisha ziara ya kambi yake nchini Uturuki bila ya kupoteza mchezo hata mmoja baada ya leo kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya timu ya Simurq PIK inayoshiriki Ligi Kuu nchini...
View ArticleKAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA
 Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya...
View ArticleANGALIA PICHA ZA WATUHUMIWA WA KUSHAMBULIA WESTGATE WALIPOKWENDA ENEO LA...
Ripota Julius Chemitei kutoka Nairobi anaripoti kwamba Hakimu na pande husika dhidi ya washukiwa wa shambulio la Westgate wametembelea eneo la tukio kutekeleza amri iliyotolewa na hakimu mkuu Daniel...
View ArticleMAJANGA!!! WANAFUNZI WANNE WAMEKUFA KWA AJARI
WANAFUNZI WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA GARI WAKATI WAKIKIMBIA MCHAKAMCHAKA HUKO MTWARA.Wanafunzi wanne Wa shule ya sekondari Mustapha Sabodo mjini Mtwara wamekufa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa...
View ArticleCHIKAWE AKITIA SAINI BAADA YA KWASILI OFISINI KWAKE
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi  Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb), Akiweka sahihi katika kitabu maalum mara baada ya kuwasili katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi leo, anayefuatia (kulia) Naibu...
View ArticleDARAJA LA DUMILA LASOMBWA NA MAJI
Picha na MaktabaDaraja la Dumila mkoani Morogoro lililopo barabara ya Dodoma - Morogoro limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo. Baadhi ya magari yatokayo upande...
View ArticlePICHA ZA WANAFUNZI WALIOJERUHIWA NA GARI LEO MTWARA WANAENDELEA VIZURI,AJALI...
 Wanafunzi watano wa shule ya sekondari Mustafa Sabodo iliyopo nje kidogo ya mji wa Mtwara wamefariki Dunia na wengine 47 kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari wakati  wakikimbia mchakamchaka mapema leo...
View ArticleRATIBA YA MAZISHI YA MBUNGE WA CHALINZE MAREHEMU SAID BWANAMDOGO
Marehemeu Mhe. Said Bwanamdogo
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI MPANGO MPYA WA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VIRUSI...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi mwongozo mpya wa huduma za kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, (PMTCT OPTION B+) kwa Mkoa wa Dar es Salaam katika...
View ArticleANGALIA PICHA MWIGULU NCHEMBA APOKELEWA KWA NDEREMO NA VIFIJO WIZARA YA FEDHA
 Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akipokea Zawadi ya Ua wakati akipokewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dsm hii Leo,Tukio hili limefanyika Nje ya Wizara ya Fedha ambapo mamia ya...
View ArticleTFF YAZUIA USAJILI WA EMMANUEL OKWI YANGA
USAJILI WA OKWI YANGA WAZUIWAShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda katika timu ya Yanga wakati likisubiri ufafanuzi kutoka...
View ArticleTANGAZO KUTOKA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIATANGAZOWizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, inawaalika Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kote nchini kushiriki katika kikao kazi kitakachofanyika...
View ArticleANGALIA PICHA ZA DARAJA LA DUMILA LILIOHARIBIKA KUTOKANA NA MVUA
MAJI YA MAFURIKO YAKIPITA KWA KASI KANDO YA DARAJA LA MTO MAGOLE WILAYA YA KILOSA NA KUFANYA MATUMIZI YA BARABARA YA DODOMA-MOROGORO KUSHINDWA KUTUMIKA KUTOKANA NA MAFURIKO KUHARIBU MIUNDOMBINU YA...
View Article