$ 0 0 Mwanafunzi wa miaka 11 nchini China amenusurika kufa baada ya mshale uliorushwa na rafiki yake kuzama kichwani kwake kupitia kwenye jicho lake, aliwahishwa hospitali huku mshale huo ukiwa bado umezama kwenye kichwa chake