ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA FEDHA ADAM MALIMA KANDA YA ZIWA.
Naibu wa Waziri wa Fedha Adam Malima alipokuwa akizungumza na wananchi wa Sirari wa wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua vituo vya forodha na kungea na watumishi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) katika...
View ArticleDR. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WANANCHI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 37...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya tayari kwa kuwaongoza wana CCM na wananchi wa mkoa wa Mbeya katika maadhimisho ya miaka 37...
View ArticleSHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM KATA YA MABATINI WAITAKA SEREKALI KUKEMEA MAOVU
Mahmoud Ahmad MwanzaSerekali imetakiwa kukemea maovu na ufisadi ili wananchi wawe na imani na chama chao na serekali iliyo madarakani kwani bila kukemea maovu yanayotokana ubadhirifu wa mali za...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA NCHINI INDIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) na akipata maelezo kutoka kwa Bunker Roy(katikati) Mwanzilishi wa Chuo kinachofundisha mambo ya ufundi wa aina...
View ArticleKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, JOHN CASMIR MINJA AHUDHURIA SHEREHE ZA...
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia(hivi sasa Mstaafu) wa kwanza kulia mstari wa pili akikagua Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maafisa Magereza wa Nchini Namibia katika sherehe za kukabidhi...
View ArticleYANGA WAVUNJA MWIKO WA MBEYA CITY KUTOFUNGWA,WAIPIGA 1 BILA 1
Mpaka mechi inakwisha ubao wa matangazo ulikuwa unasomatimu ya Yanga 1 na Mbeya City 0 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga, Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na beki wa timu ya...
View ArticleUFUNGAJI WA VITI KWA MATUMIZI YA BUNGE LA KATIBA WAKAMILIKA
Mhe Spika Anne Makinda akikagua kazi baada ya ufungaji wa Vito ndani ya ukumbi huo kukamilika.Mwingine pichani ni Mkandarasi Dr.David Zachariah wa Computer Consult ambao ni wakandarasi wa mradi huo wa...
View ArticleWest Brom 1 -1 Liverpool: Toure awanyima ushindi Liverpool
Mbio za Liverpool zimeingia doa baada ya Kolo Toure kutoa pasi kwa adui aliyepachika goli la kusawazisha.Wakiwa katika uwanja wa West Brom, Liverpool walianza vyema kwa kupachika bao lilifungwa na...
View ArticleArsenal yarudi kileleni: Ox Chamberlain apiga 2
Ikiwa Emirates,Arsenal imefanikiwa kuipiga Crystal Palce 2 - 0.Kukiwa na mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Arsene Wenger, Arsenal ilitawala mchezo dhidi ya Palace wanaocheza kwa ushirikiano mkubwa...
View ArticleHali ya Kutangazwa Matokeo katika Kituo cha Kiembesamaki baada ya kuhesabiwa...
Mgombea wa Chama cha ADC Mhe. Amani Ismail Rashid akisaini fomu ya Matekeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbola Kiembesamaki Zanzibar baada ya kutangazwa mshindi. Mshindi wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la...
View ArticleMWANAFUNZI ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUCHOMWA MSHALE WA JICHO:
Mwanafunzi wa miaka 11 nchini China amenusurika kufa baada ya mshale uliorushwa na rafiki yake kuzama kichwani kwake kupitia kwenye jicho lake, aliwahishwa hospitali huku mshale huo ukiwa bado umezama...
View ArticleGovernor Christie gets BOOED at Super Bowl hand-off party as his team takes...
Frosty reception: New Jersey Governor Chris Christie was greeted with audible boos during Saturday's Super Bowl hand-off ceremonyEmbattled New Jersey Governor Chris Christie was greeted with audible...
View ArticlePhilip Seymour Hoffman, the consummate actor
Philip Seymour Hoffman (Credit: Reuters/Michael Hanschke)Philip Seymour Hoffman leaves behind a legacy of generosity on film that won't soon be forgottenAs great an actor as Philip Seymour Hoffman was,...
View ArticleThai Political Rivals Exchange Gunfire: Shocking street battles in Bangkok on...
A protester takes cover after his truck convoy was attacked during a clash in Bangkok. "Both sides had weapons," one rights official said. WASONBANGKOK - Gunfire rang out across a busy intersection in...
View ArticlePhillip Moi ordered to pay 3.2 million to estranged wife
The ongoing dispute between Philip Moi and his estranged wife, Rossana Pluda, seems to be heightening. On Thursday the court ordered Moi to pay Pluda a sum of Sh3.2 million before a hearing scheduled...
View ArticleUN: Watu milioni 3.7 wanahitajia chakula S. Kusini
Umoja wa Mataifa umesema kuwa karibu watu milioni 4 wanahitajia msaada wa chakula nchini Sudan Kusini kutokana na mgogoro wa nchi hiyo. Toby Lanzer mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa...
View ArticleKamati ya ardhi,maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Mlima...
Mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi za jamii Tanzania,TANAPA,Alan Kijazi akizungumza jambo wakati kamati ya Bunge ya ardhi,maliasili na mazingira ilipotembelea hifadhi ya taifa ya Mlima...
View Article