Mkuu wa Shule ya Mzambarauni Magnusi Kayombo akiwaongoza wanakamati ya mfuko wa maendeleo ya Jimbo la Ukonga kukagua mandeleo ya ujenzi wa ofisi hiyo. |
Wakisikiliza maelezo kutoka kwa mkuu huyo wa Shule. |
Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugene Mwaiposa akikagua mradi wa ujenzi wa kivuko eneo la Kivule wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi mbalimbali jimboni humo. |
Ujenzi wa kivuko hicho ulisimama kutokana na mvua zilizozikiendelea kunyesha na kazi ya umaliziaji inatarajiwa kuendelea hivi karibuni. |
Ujenzi wa kituo hiki kikuu cha Polisi eneo la kata ya Chanika nao unaendelea kwenye awamu ya pili ya ujenzi ambapo kamati ya mfuko wa maendeleo ya jimbo hilo ilifika kukagua. |
Maelezo ya maendeleo ya ujenzi huo yalitolewa mbele ya kamati. |
Kwenye ziara hiyo alikutana na wanachama wa chama cha Mapinduzi ambao walisimamisha ziara yake ili awasalimie na baadaye kuendelea na ziara hiyo. |
Iyena Iyena zikapambamoto! |