Fezza Kessy Awa Mtanzania wa Pili Kuingia Nyumba ya Big Brother Africa
Baada ya Kuwa na Tetesi kuwa Fezza Kessy Atakuwa ni mmoja wa wakilishi wa Tanzania Big Brother Africa ...leo hii Amekuwa ni Mmoja kati ya Watanzania Wawili Wanao Iwakilisha Tanzania katika Jengo...
View ArticleKichanga cha siku nne chaokotwa shimoni alikokaa kwa siku 6
UKISHANGAA ya Mussa basi utayaona ya Firauni, usemi huu umethibitika Songea baada ya Mtoto Bahati Upendo mwenye siku 3 toka azaliwe aliyekuwa amewekwa kwenye mfuko wa mbolea kisha kutupwa kwenye shimo...
View ArticleWananchi wakiangalia ajali Michenzani
Wananchi wakiangalia Vespa iliyosababisha ajali ya kumgonga mtembea kwa miguu katika barabara ya michenzani jirani na kituo cha daladala michenzani.Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo iliosababishwa...
View ArticleUjenzi wa Bandari ya Boti ukiwa Hatua za Mwisho ya Ujenzi wake.
Jengo la Abiria wanaosafiri kupitia katika bandari hiyo daraja la kwanza kama linavyoonekana pichani likiwa katika hatua ya umaliziaji wake unaoendelea kufanyika katika majengo hayo. Eneo la kupitia...
View ArticleVIKONGWE WATATU WACHOMWA MOTO BUNDA KWA USHIRIKINA.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya mwandishi Masau Bwire aliyepo Bunda kwa sasa, tukio hilo limetokea usiku wa kumakia leo baada ya watu hao wenye hasira kuwasaka ajuza hao baada ya kuwepo tuhuma kwamba...
View ArticleMSIMU WA NANE WA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRICA WAZINDULIWA LEO, MAMBO YANOGA...
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya MultiChoice Tanzania, Furaha Samalu, (katikati) meneja rasilimali watu wa Multi Choice Tike Mwakitwange, wa kwanza kulia ni Meneja uhusiano wa...
View ArticleMBUNGE WA UKONGA ATEMBELEA MIRADI YA MFUKO WA JIMBO.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo la Ukonga ambaye ni Mbunge wa jimbo hilo Eugene Mwaiposa (wapili kulia) akimsikiliza kwa makini Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mzambarauni ya Ukonga Magnus...
View ArticleFREEMAN MBOWE AFUNIKA KATIKA MKUTANO WA HADHARA KANDA SONGEA. .... ONA...
Mwenyekiti wa Chana cha Chadema - CDM - Taifa na Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni, Mhe Freeman Mbowe, (Mb.) akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Shule ya Msingi Matarawe manispaa ya Songea...
View ArticleLADY J DEE NA LWAKATARE MAHAKAMANI LEO
WAKATI kesi ya Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare ikitarajiwa kusikilizwa lEo Mei 27 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Kesi ya msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Judith...
View ArticleTETESI KUHUSU MATOKEO MAPY KIDATO CHA NNE KUTANGAZWA LEO JUMATATU
Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu wa mh naibu wazir anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa kuwa national examination results kwa matokeo yaliyofutwa yanatarajia kutangazwa...
View ArticleNCHI 22 ZA AFRIKA ZAPATA DARASA JUU YA AMANI YA MTU BINAFSI JANA
Mtaalam na mkufunzi wa masuala ya amani ya mtu binafsi kwa njia ya kutafakari kutoka taasisi ya Art of Living, Chandrika Magaraja akitoa maelezo juu ya amani ya mtu binafsi inavyoweza kupatikana kwa...
View ArticleTRENI YAUA UKONGA- MOSHI BAR MUDA HUU
Muda mfupi auliopita treni imegongana na gari aina ya RAV4 na dereva (mwanaume)amekufa muda huu na abiria(mwanamke) yu mahututi.
View ArticleBARCLAYS YATANGAZA WADHAMINI WA MATEMBEZI YA HISANI YA ‘STEP AHEAD’
Meneja wa Mawasiliano na Huduma za Jamii wa Benki ya Barclays, Tunu Kavishe(kushoto) akizungumza na waandishi wakati wa kutangaza wadhamini waMatembezi ya Hisani ya ‘Step Ahead’ ambayo yamelenga...
View ArticleANGALIA PICHA ZA NAY WA MITEGO & DIAMOND WALIVYOWEKA HISTORIA NDANI YA MAISHA...
Napenda kumshukuru Mungu muda na wakati kama huu...Mimibinafsi ni mzima wa afya kabisa....!!Usiku wa Jana,Ulikuwa usiku wa kipekee sana kwangu lakini zaidi ya yote ulikuwa usiku wa Brother wangu Nay...
View ArticleKONGAMANO LA MAAFISA UNUNUZI NA UGAVI SERIKALINI LAFANYIKA MJINI MOROGORO...
Kutoka kushoto ni Kamishna Msaidizi Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma Bw. Bunare Daniel, Mkurugenzi Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Wizara ya Elimu Bw. Jacob Kibona, Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMAN KINANA AWASILI MKOANI NJOMBE TAYARI KWA ZIARA YAKE
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana ukiwasili mpakani mwa mikoa ya Njombe na Iringa katika kijiji cha Idofi ambapo alipokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Njombe akitokea mkoani...
View ArticleAJALI YA GARI LILILOKUWA LIMEBEBA MAZAO YA KITUNGUU NYANZWA HAKUNA...
Gari aina ya Dyana likiwa nimelele barababi mwishoni mwa wiki muda mfupi tu baada ya kupinduka.Wananchi wa kijiji cha Igunda waliwa katika harakati za kushusha magunia ya vitunguu katika gari...
View Article