Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

$
0
0
spikaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kulia)  akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema jana kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Picha zote -MAELEZO-dodoma
1Mjumbe wa mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Esther Bulaya(kushoto) akibadilishana mawazo na waandishi wa habari jana mjini Dododma kabla ya kikao cha Bunge kuanza.2Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo wakati wakielekea katika mkutano jana mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, vijana , Utamaduni na Michezo Juma Mkamia , Vincent  Nyerere(katikati) na Profesa Kapuya.
aWajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Hamis Damumbaya(katikati), Catherine Sibuti(kulia) na Veronica Sophu ambao ni wawakilishi wa wakulima wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma.bWajumbe wa Bunge la Katiba Mary Mpangala(kushoto), Salim Ally (wa pili kushoto) , John Chipaka (wa pili kulia) na Doinick Lyamchay(kulia)wakibadlishana mawazo jana mjini Dodoma.hamadMjumbe wa Bunge la Katiba Hamad Rashid Mohamed(kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania na mjumbe wa bunge la Katiba Anne Makinda (kulia)jana mjini Dodoma wakati wa mkutano wa bunge hilo.jchipakaMjumbe wa Bunge la Katiba John Chipaka (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania na mjumbe wa bunge la Katiba Anne Makinda (kulia)jana mjini Dodoma wakati wa mkutano wa bunge hilo.mawazirimdeeWajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Philemon  Ndesamburo (kulia) na Halima Mdee wakielekea katika ukumbi wa mkutano jana mjini Dodoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>