Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUGU: NIMEITULIZA MBEYA

Mbeya. Jimbo la Uchaguzi Mbeya Mjini linafahamika kwa rekodi yake ya kipekee.Kwa muda mrefu lina rekodi ya kubadili wabunge kila baada ya miaka mitano. Hiyo imetokea kwa wabunge kama Polisya Mwaiseje...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARAKA WA KATIBA WA CCM HADHARANI

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.PICHA|MAKTABAWaraka huo wa kurasa 22 unaoainisha mambo yenye masilahi kwa chama hicho, unawataka wajumbe wake kuutetea bungeni.Gazeti hili limefanikiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIDAS MASABURI ALITAKA BUNGE MAALUMU LA KATIBA KUKATAA KUJADILI RASIMU HIYO...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa (Alat), Taifa, Didas Masaburi amelitaka Bunge maalumu la Katiba kukataa kujadili Rasimu ya Katiba mpya kutokana Rasimuhiyo kutotambuwa mamalaka ya serikali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AONGOZA KURA ZA TAMASHA LA PASAKA

Na Mwandishi WetuRais  wa Jamuuhuri ya muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete anaongoza kwa kupigiwa kura na wananchi kuwa mgeni rasmi wa Tamasha la Pasaka akifuatiwa na Mchungaji wa Kanisa la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MTENDAJI WA BODI YA FILAMU NCHINI AKUTANA NA WADAU WA TASNIA YA FILAMU

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo akizungumza na wadau wa Filamu Tanzania waliofika ofisini kwake kuzungumza masuala yanayohusiana na Maendeleo ya Filamu Nchini.Kualia ni Evance...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA ZA KIMICHEZO KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

SYMBION KUSAIDIA PROGRAMU ZA VIJANA TFFShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Symbion Power Tanzania Limited zimesaini makubaliano ambapo kampuni hiyo itasaidia kwenye maeneo matatu ya mpira wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA SCHLUMBERGER

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais  wa  kampuni ya  Schlumberger Kanda ya Afrika na Ulaya, Bibi  Catherine MacGregor kabla ya mazungumzo yao,  kwenye makazi ya Waziri Mkuu, mjini Dodoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI BANDARINI(TPA)-TANGA

TANZANIA PORTS AUTHORITYOffice of the port masterTelephone: +255-27-26-43078Fax: +255-27-264236E-mail pmtanga@tanzaniaports.comBandari house, P.O.BOX443,TANGAKUMBUKUMBU: NA.TPE/2/2/05 TANGAZO LA NAFASI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAFASI MPYA YA KAZI TANZANIA WAREHOUSE LICENSING BOARD

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAMINISTRY OF INDUSTRY AND TRADETANZANIA WAREHOUSE LICENSING BOARDwww.wrs.go.tzEMPLOYMENT OPPORTUNITYThe Tanzania Warehouse Licensing Board was established following the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIFICHO AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUWA MAKINI

NA MAGRETH KINABO  – MAELEZO DODOMA Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba ,Pandu Ameir  Kificho Aidha  Mwenyekiti huyo  amevitaka  vyombo vya habari  kuandika habari za bunge hilo kwa kupata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUMSHAURI MWENYEKITI WA MUDA WA BUNGE MAALUM YAWASILISHA TAARIFA

  NA MAGRETH KINABO- MAELEZO,DODOMAKamati  ya  Kumshauri  Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumkuhusu Kanuni za Bunge Maalum  leo imewasilisha taarifa katika  semina  iliyoandaliwa kwa wajumbe wa bunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE MAALUM LA KATIBA KUWA NA SIWA

NA MAGRETH KINABO  – MAELEZO Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba ,Pandu Ameir  Kificho Aidha  Mwenyekiti huyo  amevitaka  vyombo vya habari  kuandika habari za bunge hilo kwa kupata ufafauzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kulia)  akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema jana kwenye viwanja vya Bunge mjini DodomaPicha zote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA TAIFA YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI YA...

Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu  akizindua rasmi vipeperushi vilivyo andikwa , Mambo Saba makubwa ya kuungwa mkono na wananchi katika Rasimu ya Katiba pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADINI YA TANZANITE YANGA’RA BANGKOK

Baadhi ya madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana katika mabanda mbalimbali katika maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Bangkok Gems and Jewelry Fair.Mfanyabiashara  wa madini na Afisa Masoko wa Kampuni ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INASEMEKANA MMILIKI WA FACEBOOK, INSTAGRAM NA WHATSAPP WAIFUNGIA UGANDA

Kufuatia Rais wa Uganda kusaini sheria mpya ya kupinga Ushoga na aina zote za namna hiyo, Kuna maneno ya chinichini kuhusu wamiliki wa Facebook, Instagram, na WhatsApp kuwafungia huduma zote wakazi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWILI WATANGAZWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZIL WIKI HII

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Allan Chonjo akitangaza majina ya washindi wa droo ya tatu ya Winda Safari ya Brazil na Serengeti mbele ya wana habari(hawapo pichani)mara baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI MBALIMBALI WAUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KATIKA...

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miili 5 yapatikana mgodini A. Kusini

Wachimba migodi waliookolewa wiki jana wanakabiliwa na kesi mahakamaniMiili ya wachimba migodi haramu watano, imepatikana karibu na mgodi ambao ulikuwa hautumiki nchini Afrika Kusini.Miili ya wanaume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYAKAZI WA NDANI WA PETER MSECHU AFANYA JARIBIO LA KUJINYONGA

Katika pita pita katika mtandao wa Instagram nimekutana na post ya msanii Peter Msechu ambayo ameelezea tukio la msichana wake wa kazi kufanya jaribio la kujinyonga. Soma alichokiandika mwenyewe...na...

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>