Taarifa nilizozipata muda na watu ambao wapo kwenye tukio, wanasema hali si shwari katika mji wa ruaha kutokana na kumkabidhiwa uenyekiti wa kijiji bwn. KISALUNI, kinyemela kwa kumuita ofisini na kumkabidhi mihuri na vitendea kazi bila ya wakazi wa ruaha kumpitisha kuwa mwenyekiti wa kijiji.
↧
BREAKIN NEWZZ:! RUAHA KIMENUKA
↧