DKT. CHARLES KIMEI ACHAGULIWA KUWANIA TUZO YA KIONGOZI BORA WA MABENKI AFRIKA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (pichani) amechaguliwa kwenye mchakato wa kumtafuta “kinara wa Benki wa Afrika” kwa mwaka 2013 unaoendeshwa na African Banker Awards chini ya...
View ArticleDUCE YAPOKEA MSAADA WA KOPYUTA 20 TOKA VODACOM
.Mkuu wa Kitivo cha Elimu wa Shule ya Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo (kulia) akifafanua jambo mbele ya Maofisa mbalimbali wa Vodacom Foundation muda mfupi baada ya Kampuni ya...
View ArticleLOWASSA AUDHURIA MAZISHI YA KADA MAARUFU MAKUYUNI
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa Akitoa heshima za mwisho kwa alie kuwa kada maarufu wa CCM kata ya Makuyuni wilaya Monduli James Olekipoon aliyefariki Jumatatu na kuzikwa...
View ArticleDAVID MOYES ATHIBITISHWA RASMI KUMRITHI FERGUSON KWA MKATABA WA MIAKA 6
Hatimaye Manchester United imethibitisha DAVID MOYES ndio atakuwa kocha mpya wa kumrithi Sir Alex Ferguson kwa mkataba wa miaka 6.Alex Ferguson jana alitangaza kustaafu kuifundisha timu hiyo aliyodumu...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Utaribu na Bunge William Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa (kushoto) akizungumza jambo na baadhi ya wabunge wa CHADEMA ambao ni...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO WA (ALAT) ARUSHA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kwenye uwanaj wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili May 8,2013 ili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May...
View ArticleBREAKIN NEWZZ:! RUAHA KIMENUKA
RUAHA WILAYANI KILOSA KUNA VURUGU KUBWA SANA BAINA YA WANANCHI NA POLISI INAENDELEA SASA HIVITaarifa nilizozipata muda na watu ambao wapo kwenye tukio, wanasema hali si shwari katika mji wa ruaha...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MADADA HAWA BAADA YA KUPIGA TUNG KUPITA KIASI
HIVI KWANI LAZIMA MTU UNYWE MPAKA UJIAIBISHE HIVI JAMANI?HAWA NI WANAFUNZI WAKIFURAHIA USIKU WAO WA ULEVI - U.K
View ArticleANGALIA PIVCHA YA DADA ALIYEAMUA KUVUA NGUO BAADA YA KUNYWA POMBE BILA KULA
KITUKO cha aina yake kimejiri Jumamosi iliyopita ndani ya Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar wakati Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ ilipokuwa ikitumbuizaKatika onesho hilo, mwanamke mmoja...
View ArticleSIKUENDA AFRIKA KUSINI KUJIUZA....PICHJA ZANGU ZILISAMBAA NIKIWA...
Anaweza kuwa ndo video queen hot&sexy zaidi Bongo na ingawa ameshiriki on two videos pekee anabaki kuwa Video queen mwenye jina kubwa zaidi. Siku za karibuni amekuwa akimake headlines on social...
View ArticleMAMA KANUMBA: CHONDECHONDE, KABURI LA MWANANGU LISIGEUZWE MTAJI
Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa.Na Gladness MallyaBAADA ya siku za hivi karibuni kubainika kuwa baadhi ya vijana wanaolinda makaburi ya Kinondoni wamegeuza mtaji kaburi la aliyekuwa...
View ArticleDIAMOND PLATZNUM ANAPOMKANA MDOGO WAKE WA DAMU!!
Katika pita pita zetu tukutana na kijana aitwaye Saleh Abdul anayedai kuwa ni mdogo wake na Diamond Platnumz. Saleh anadai yeye na Diamond wanachangia baba lakini jitihada zake za kuwa karibu na kaka...
View ArticlePOLISI WAUA TARIME MTOTO WA MIAKA 9 KWA RISASI; TUNAOMBA RADHI KWA PICHA
Haya ndiyo yaliyofanyika Tarime Jana mtoto wa miaka 9 kuuuwa na jeshi la polisi kwa uzembe eti wanawakamata majambazi ambao si wale wanaoiba na kuuwa watu mpaka mwa Tanzania na Kenya.na dj blog
View ArticleMGOMO WA DALADALA UMEANZA KWA KASI ASUBUHI HII MKOANI IRINGA.
Yawezekana ikawa sawa kutimia usafiri huu kutokana na mgomo wa daladala mtu kuwa ofisini Boda boda zinachekelea kwa kupiga kazi leo.MGOMO wa daladala umeanza kwa kasi katika mji wa Iringa baada...
View ArticleMAAJABU. KUTOKA KENYA ALIYE JIBADILISH JINSIA NA MWANAMKE ASHITAKI BARAZA LA...
Afisa Mkuu Mtendaji wa Baraza la Kitaifa la Mitihani (KNEC) Paul Wasanga.BAADA YA KUJIBADILISHABAADA YA KUJIBADILISHAMWANAUME aliyegeuza jinsia yake, amelishtaki baraza la mitihani nchini, Kenya...
View ArticleTAMKO LA CCM MKOA WA MOROGORO KUHUSU VURUGU ZILIZOTOKEA RUAHA JANA JIONI
Ndugu wananchi Tarehe 24/4/2013 ulifanyika uchaguzi wa mwenyekiti wa Serikali ya kijiji cha Ruaha. Vyama vilivyoweka wagombea vilikuwa CCM na CHADEMA. Hata hivyo mgombea wa Chadema alienguliwa...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MWANADADA NISHA KUTOKA BONGO MOVIE AKIWAFANYIA WAFANYA KAZI...
Mwanadada ''Nisha'' Msanii maahiri kutoka swahili wood Anaekuja kwa kasi ya juu katika tasnia ya filamu hapa nchini Leo Amefanya mahojiano na masainyotambofu.blogspot.com kuhusu Shoping aliowafanyia...
View ArticleANGALIA PICHA YA MSICHA MREMBO ALIYE JICHOMA SINDANO YA MAFUTA NA KUHARIBIKA...
Mwathirika wa utengenezaji upya viungo amejidunga sindano ya mafuta ya kupikia kwenye uso wake baada ya madaktari kugoma kumpatia silikoni zaidi.Mrembo wa zamani Hang Mioku ameharibika kabisa sura yake...
View ArticleSIKU CHACHE BAADA YA UGOMVI NA CLOUDS FM LADY JAYDEE AFUNGULIWA KESI MAHAKAMANI
Bado joto ya show ya mika 13 ya Lady JayDee inazidi kupanda kutokana na mengi yanayohofiwa kutokea siku hiyo. Kwanza kulikuwa na tetesi kuwa huenda Clouds Fm wakafanya show nyingine siku hiyo, kitu...
View Article