Brand meneja wa bia ya kilimanjaro George Kavishe akiongea a wandishi wa habari kuhusu usiku wa utoaji Tuzo za Kilimanjaro Music Awad itakayo fanyika tarehe 8 juni jijini Dar es salaam na kituo cha Televisheni cha ITV Kinataonyesha moja kwa moja usiku huo