BAADA YA KUSIKIA MWILI WA MWANAE UMESHINDWA KUWASILI NCHINI, MAMA MANGWEA...
Bi Denisia Mangwea.mama mzazi wa msanii Albart Mangwea MAMA mzazi wa marehemu Albart Keneth Mangwea Bi Denisia Mangwea[63] leo asubuhi ameanguka ghafla baada ya kupoeka taarifa kwamba...
View ArticleKONGAMANO LA WAISILAMU JIJINI DAR, Sheikh Ponda aunguruma, Awasihi waisilamu...
Waumini wa dini ya Kiisilamu wakiwa kwenye Kongamano lililofanyika leo jijini Dar es Saalaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo mada mbalimbali ziliwasilishwa na masheikh. Msimamo wa waisilamu juu...
View ArticleAJALI MBAYA WATU WATATU WAFARIKI KWA KUANGUKIWA NA UKUTA HUKO PEMBA
Wananchi wakiuangalia mnara wa tangi la maji ulioanguka na kupoteza maisha ya wananchi watatu leo asubuhiAskari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, wakiwa katika zoezi la kutoa miili ya...
View ArticleDIAMOND ATOA SIRI YAKE NAA MANGWEA.
DIAMOND. WAKATI watu mbalimbali maarufu nchini, hususan wasanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), wakiendelea kutoa historia ya mahusiano yao na aliyekuwa msanii wa Hip Hop nchini Tanzania...
View ArticleMAHAKAMA YA KATIBA YAMWAGIZA MUGAMBE KUPANGA TAREHE YA UCHAGUZI MKUU
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe akitia saini katiba mpya huku waziri mkuu Morgan Tsvangirai akitazama(Reuters)Mahakama kuu ya katiba nchini Zimbabwe imemuagiza rais Robert Mugabe kupanga tarehe ya...
View ArticleWATU WATANO WAFARIKI DUNIA BAADA YA MALORI MATATU KUPATA AJALI MASEYU MOROGORO.
WATU watano wamefariki dunia baada ya kutokea kwa ajali ilihusisha magari matatu katika eneo la Maseyu tarafa ya Mikese katika barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro katika tukio lililotokea majira ya...
View ArticleMwili wa Marehemu Mzee Felician Makwaia wasafirishwa leo kwenda Bukoba kwa...
Picha ya Marehemu Mzee Felician M. Makwaia enzi za uhai wake. Watoto wa Marehemi Mzee Felician Makwaia,Christopher Makwaia ambaye ni mmoja wa Wakurugenzi wa Michuzi Media Group (wa kwanza...
View ArticleBAYERN MUNICH WABEBA KOMBE LA 3 MSIMU HUU NA KUIFIKIA REKODI YA MANCHESTER...
Bayern Munich imeifunga Stuttgart 3-2 na kushinda ubingwa wa DFB Pokal na kufanikiwa kuwa klabu ya kwanza ya Ujerumani kuweza kushinda makombe matatu. Wiki moja baada ya kuifunga Borussia Dortmund...
View ArticleBALOZI WA TANZANIA AFRIKA KUSINI AFIKA MSIBANI KWA BABA MDOGO WA MANGWEHA
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Radhia Msuya, akiweka saini katika kitabu cha maombelezo nyumbani kwa baba mdogo wa Marehemu Mangweha Mbezi Beach jijini Dar leo.Balozi Msuya akimpa mkono wa...
View ArticleSERIKALI YAZIDI KUMKABA KOO JERRY MURO.
ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA TBC1 JERRY MURO AKIWA CHINI YA ULINZI WA ASKARI POLISI.MIAKA miwili imepita tangu Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Frank Moshi alipo andika hukumu iliyomwachia...
View ArticleAngalia Picha zaidi Ajali ya kuanguka kwa ukuta wa tangi la maji iliyouwa...
ASKARI wa vikosi vya Ulinzi na Usalama kisiwani Pemba, wakiwa katika zoezi la kuokoa miili ya Marehemu waliopoteza maisha katika ajali ya kuangukiwa na Ukuta wa tangi la Maji Machomanne Chake Chake...
View ArticleZiara ya Rais wa Zanzibar Dk. Shein Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DkAli Mohamed Shein,na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Manispaa ya Mji wa Xiamen nchini china Liu Keqing, na viongozi wengine...
View ArticleDKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA JOPO LA WATAFITI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa Jopo la Watafiti wa Masuala ya Uchumi Afrika (AERC) kujadili athari...
View ArticleITV WAPIGA BAO TUZO ZA KILI,
Brand meneja wa bia ya kilimanjaro George Kavishe akiongea a wandishi wa habari kuhusu usiku wa utoaji Tuzo za Kilimanjaro Music Awad itakayo fanyika tarehe 8 juni jijini Dar es salaam na kituo cha...
View ArticleTIMU YA NSSF ALL STRS KWA UPANDE WA MPIRA WA MIGUU YAIBUKA NA USHINDI WA 1-...
Wachezaji wa timu ya wanawake ya mpira wa Peter ya NSSF All Stars wakikaguliwa kabla ya mpambano na tinu ya Bunge ya mpira wa Peter wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa Jamhuri...
View ArticleDENNIS RODMAN WA SASA NDIYO HUYU PITIA CHUKUA MUDA WAKO KUPITIA PICHA ZAKE
Fashion statement: Dennis Rodman sported a blonde mohawk, heavy make-up and a gaudy blazer on Sunday for the finale of All-Star Celebrity Apprentice in New York CityRodman adorned the outfit with a...
View ArticleBANKI YA NMB MKUTANO WA WANAHISA
Mkurugenzi mtendaji wa Banki ya NMB Mark Wiessing akiongea na wandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa wanahisa wa banki hiyo katika kujadili maswala mbalimbali ya maendeleo...
View ArticleTASWIRA YA DK SLAA KATIKA MKUTANO WA HADHARA MOROGORO
Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbrord Peter Slaa akiwahutubia wananchama na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhari uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege Sabasaba...
View ArticleKINANA ALIA NA VIONGOZI WA SERIKALI NA WATENDAJI WA CCM
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Abdulrahman KinanaNa Nathan Mtega,Songea VIONGOZI wa chama cha mapinduzi wametakiwa kuacha kusimamia vitendo vya dhuluma ndani ya chama na nje ya chama kwa...
View Article