Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

WAKATI MWILI WA MWANGEA UKITARAJIWA KUWASILI MORO WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA MAMA MANGWEA HALI TETE

$
0
0


Mama mzazi wa marehemu Albet Mangwea Bi.Denisia Mangwea akiwa kitandani nyumbani kwake kihonda muda mfupi baada ya kutoka hospital ya mkoa wa Morogoro alikokuwa amelazwa baada ya kuanguka ghafla baada ya kuelezwa kwamba mwili wa mwanae ulishindwa kuwasili nchini juzi kama ilivyolipotiwa awali.


Leo audifacejackson blog ulifika tena nyumbani kwa Bi Mkubwa huyo kwa lengo la kumjulia hali ambapo alipohojiwa alidai kwamba bado afya yake haijatengemaa.Hata hivyo alisema vyovyote itajkavyo kuwa ni razima ashiriki kikamilifu ibada na mazishi ya mwane kitinda mimba Albaet aliyekufa ghafla nchini Afrika kusini jumanne ya wili iliyopita.Mwili wa msanii huyo unatarajiwa kuzikwa jirani na kaburi la marehemu baba yake Mzee Keneth Mangwea kwenye makaburi ya Kihonda yaliyopo nje ya kanisa la Mtakatifu Monica Kwa picha za matukio ya mazishi  ya msanii huyo endelea kutembelea mtandao huu.

na dustani

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>