BHARTI AIRTEL YASAIDIA KUONDOA UMASKINI KUPITIA MRADI WA MILLENIUM VILLAGE
Meneja huduma kwa jamii wa Airtel Hawa Bayumi akiongea wafanyakazi wa afya wa mradi wa millenium village wakati akikabithi simcards 240 zitakazowasaidia wafanya kazi hao kuwasiliana kwa bei nafuu na...
View ArticleWAKATI MWILI WA MWANGEA UKITARAJIWA KUWASILI MORO WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA...
Mama mzazi wa marehemu Albet Mangwea Bi.Denisia Mangwea akiwa kitandani nyumbani kwake kihonda muda mfupi baada ya kutoka hospital ya mkoa wa Morogoro alikokuwa amelazwa baada ya kuanguka ghafla baada...
View ArticleANGALIA PICHA YA MDADA AFARIKI BAADA YA KUPIGWA KISS KWA MARA KWANZA TANGU...
Jemma BenjaminYapo matukio mengi yaliyotokea na yanaendelea kutokea katika karne ya 21 ambayo husikikitisha na yapo ya kushangaza kwa jinsi yalivyotokea, lakini hili pia ni moja kati ya yaliyowahi...
View ArticleANGALIA PICGA ZA RAIS MASIKINI KULIKO MARAIS WOTE DUNIANI,
Leo katika Makala ya siasa namleta kwenu Raisi masikini kuliko wote duniani anaitwa José MujicaKwamajina Kamili naitwa José Alberto "Pepe" Mujica Cordano ni raisi wa Uruguay Tokea mwaka 2010..Alizaliwa...
View ArticleSIMBA, YANGA ZAKABIDHIWA VIFAA NA TBL TAYARI KUSHIRIKI KOMBE LA KAGAME
Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe akimkabidhi jezi Makamu Mwenyekiti wa Simba Joseph Itang'are 'Kinesi' jezi katika hafla ya kuikabidhi timu hiyo vifaa itakavyotumia kwenye michuano ya kombe...
View ArticleMKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA PERAKANAS NCHINI...
Mama Salma akiangalia kazi mbalimbali za mikono ziizokuwa zikifanywa na wanawake Waperakanas wa Singapore zilizohifadhiwa kwenye makumbusho hayoMama Salma akiangalia kazi mbalimbali za mikono ziizokuwa...
View ArticleTAMASHA LA ZIFF KUANZA JUNI 29 ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Wananchi Progamming, Bi. Hannelie Bekker (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maonesho ya filamu, utamaduni, kazi za mikono na burudani yajulikanayo kama Zanzibar...
View ArticleBREKING NEWZZZZ::- SAFARI YA NWAIR MOROGORO WANANCHI WAZIBA NJIA KUAGA MWILI!!
Tuko njiani kwenda Morogoro, kwenye eneo la Mikese baadhi ya mashabiki wamefunga barabara na kuruhusiwa kuuaga mwili wa Marehemu Ngwea.
View ArticleMAONI YA VIGOGO NA VIONGOZI MBALIMBALI JUU YA RASIMU YA KATIBA MPYA HAYA HAPA
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Maua DaftariMapendekezo yaliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kuhusu muundo wa serikali tatu, umeibua kauli za kukinzana...
View ArticleBALOZI WA IRAN NCHINI AMKUBALI KIONGOZI WA KIDINI MAREHEMU IMAM KHOMAIN KUWA...
BALOZI wa Jamhuri ya Iran nchini Mehdi Aghajafari, amesema kiongozi wa kidini Imam Khomain aliyefariki miaka 24 iliyopita alikuwa kiongozi wa kweli kutokana na kuitawala nchi hiyo kwa kufuata misingi...
View ArticleMASHABIKI NJIANI WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA
Hapa ni Miembe 7 karibu na Mlandizi Pwani, hawa ni baadhi ya mashabiki wa Marehemu NGwea waliojitokeza barabarani kuuaga mwili unaopita kwenda kuzikwa Morogoro.(Millardayo)
View ArticleMADAWA YA KULEVYA MPYA KUHUSU HUYU DADA ANAYEDAIWA KUNYONGWA IJUMAA...
Hii ndio picha ambayo imesambaa kwenye mitandao mingi ya msichana anesemekana ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amehukumiwa kunyongwa huko egypt baada ya kukamatwa na unga.Hii ni...
View ArticleANGALIA PICHA ZA KAMATI YA MAZISHI YA MAREHEMU MANGWEA
Hii ni kamati ya msiba wa marehemu Albert Mangweha ikiongozwa na mwenyekiti wake Adam Juma akitoa maneno ya shukrani kwa watu wote waliojitokeza katika viwanja vya Leaders Leo Jumatano kuuaga mwili wa...
View ArticleWANAFUNZI WA CHUO CHA KIJESHI CHA MAWASILIANO WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA...
Mkuu wa kitengo cha uendeshaji wa mtandao wa Vodacom Tanzania,Bw.Andrew Lupembe,akiwaonyesha mitungi ya gesi ya kisasa ambayo inatumika kuzima moto wanafunzi wa chuo cha kijeshi cha mawasiliano cha...
View ArticleMR NICE APIGWA CHINI NA LABEL ALIYOKUA AKIFANYA NAYO KAZI KENYA, KISA NI MVIVU.
GrandPa Records Ya Kenya Imevunja Mkataba Wake Wa kazi na Msanii Mr Nice kutoka Tanzania Baada ya miezi michache ya kufanya nae kazi. Fahamu Mr Nice alipewa mkataba na GrandPa Records huku akijua kuwa...
View ArticleANGALIA PICHA ZA M2 THE P AKIMUAGA RAFIKI YAKE ALBERT MANGWEA MJINI MOROGORO
M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta...
View ArticleWaziri Mkuu wa Zimbabwe ataka uchaguzi kucheleweshwa ili kufanyike madadiliko...
Waziri Mkuu wa Zimbabwe Bw. Morgan Tsvangirai amesema muda uliobaki ni mfupi mno kuweza kutimiza siku iliowekwa kwa ajili ya uchaguzi wa kitaifa nchini humo.Ameongeza kusema kuwa mabadiliko ya msingi...
View ArticleANGALIA PICHA UMATI ULIOJITOKEZA KUMWAGA MAREHEMU MANGWEA MOROGORO
Hii ni kwenye mlango wa kuingia uwanja wa Jamuhuri kuuaga mwili wa Marehemu Ngwea Morogoro.Foleni ya kwenda kumuaga marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa Jamuhuri Morogoro.
View ArticleANGALIA PICHA ZAIDI KUTOKA MOROGORO TUKIO LA KUAGWA KWA MANGWEA
Wananchi waliojitoka uwanjani Huyu nimmoja kati ya walipoteza fahamu uwanjanizoezi la uuagaji wa mwili ukiendeleaRafiki wa wa karibu wa marehemu Albert Mangwea...
View ArticleTASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MAMA MZAZI WA JAFFARI ALLY (MUME WA KHADIJA KOPA)
Mama Mzazi wa marehemu Jaffari Ally, Bi. Rehema Tuwa, akilia kwa uchungu nyumbani kwake Tandale jijini Dar.Simanzi na majonzi vilitawala msiabani…Mama Mzazi wa marehemu Jaffari Ally, Bi. Rehema Tuwa,...
View Article