Hii ndio picha ambayo imesambaa kwenye mitandao mingi ya msichana anesemekana ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amehukumiwa kunyongwa huko egypt baada ya kukamatwa na unga.
![]() |
Uwii I hope this is not true maskini hapa insemekana yuko na mwanae dah!!!!! |
![]() |
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake |
Katika tafuta tafuta zangu za hape na pale nimekutana na hizi picha ambazo zinadai kwamba huyo ndo mrembo ajulikane kama Fatma almaarufu kwa jina la Brown Berry wa mitaa ya Ilala Jijini Dar es salaam aliyehukumiwa kunyongwa baada ya kupatikana na unga nchini Misri. Inarepotiwa kwamba siku yake ya kunyongwa ni Ijumaa hii tarehe 7 June 2013 huko huko Misri.
KUSEMA UKWELI HABARI HIZI SINA UHAKIKA NAZO JAPO KUWA ZIMESAMBAA KILA SEHEMU NIKAONA SI VIBAYA NIKSHARE NA NYIE WADAU PIA. SO KAMA KUNA MWENYE HABARI ZA KWELI TUNAOMBA UTUJULISHE KUPITIA EMAIL YETU habarimpasuko@gmail.com
Update kutoka kwa Le Mutuz Baharia aka William Malecela ni kwamba amepigiwa simu na watu waliojitambulisha kama ndugu zake huyu binti wenye namba ya simu 0652-172-571 na kumweleza kwamba ni kweli kakamtwa ila bado haja hukumiwa na hana passort ya Tanzania