$ 0 0 Mkurugenzi wa uzalishaji na usambazaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Taylor pamoja na Meneja viwango wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Paul Kitambi wakionesha cheti walichotunukiwa na Shirika la Viwango la Kimataifa(ISO) kwa wana habari jana katika ofisi za kiwanda cha bia cha Serengeti jana jijini Dar es Salaam. NA FULL SHANGWEMeneja viwango wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Paul Kitambi akiwa amebeba cheti walichotunukiwa na Shirika la Viwango la Kimataifa(ISO) mara baada ya kumaliza mkutano na wanahabari jana jijini Dar es Salaam. Meneja mawasiliano ya ndani wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Imani Lwinga akizungumza jambo katika mkutano na wana habari jana jijini Dar es Salaam kushoto ni Mkurugenzi wa uzalishaji na usambazaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark TaylorMeneja viwango wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Paul Kitambi akiwa amebeba cheti walichotunukiwa na Shirika la Viwango la Kimataifa(ISO) akizungumza katika mkutano huo na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa uzalishaji na usambazaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Taylor