MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge waBunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Utatibu, Mhe. Stephen Wasira. Bngeni Mjini Dodoma Juni 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)...
View ArticleKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YATUNUKUIWA CHETI NA SHIRIKA LA VIWANGO LA...
Mkurugenzi wa uzalishaji na usambazaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Taylor pamoja na Meneja viwango wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Paul Kitambi wakionesha cheti walichotunukiwa na Shirika la...
View ArticleWASTARA ATOKEWA NA SAJUKI KITANDANI
Wastara Juma akiwa na mumewe Sadick Juma Kiwoloko ‘Sajuki’ enzi za uhai wake.SIKU chache baada ya staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma kumaliza eda na kurejea Bongo akitokea Uarubuni...
View ArticleMAANDALIZI YA MTANANGE WA KUKATA NA SHOKA KATI YA NMB NA WABUNGE UWANJA WA...
Mheshimiwa Kassim Majaliwa akipokea jezi kwa ajili ya mechi hiyo kati ya Wabunge na NMB kutoka kwa Nahodha msaidizi wa timu ya NMB, Hezbon Mpate. Makabidhiano haya ya Jezi zenye thamani ya shilingi...
View ArticleJAJI MSTAAFU MARCK BOMANI AZUNGUMZIA RASIMU YA KATIBA
Jaji mstaafu Marck Bomani akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari kuhusu rasimu ya katiba mpya kushoto ni Naibu mkurugenzi Idara ya habari Maelezo Vicent TiganyaMsajili wa Baraza la...
View ArticleMAAJABU YA DUNIA ! MTOTO WA MIAKA 5 ALIYEBEBA UJAUZITO NA KUJIFUNGUA MTOTO WA...
LINA akiwa amelezwa mara baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji.LINA MEDINA LINA AKIWA MJAMZITO. LINA AKIWA NA MTOTO NA MMOJA WA MADAKTARI WALIOMFANYIA UPASUAJI NA KUJIFUNGUA MTOTO HUYO KATIKA...
View Article.CHATU AKIWA AMEMMEZA MWANAMKE SIKU MBILI ZILIZO PITA
Linda Laina Nyatoro, a South African reporter witnessed the incident and sent this picture. The giant snake swallowed a woman two days ago, near Durban North, South Africa.Y
View ArticleDiamond Apata dili lingine
Wanasema hela huenda kwa wenye hela na mwenye nacho huongezewa zaidi. Sina uhakika, lakini kwa mujibu wa picha nilizoziona kwenye akaunti ya Instagram ya Diamond Platnumz, inaonekana kama the lad is...
View ArticleMWANA FA AFUNGUKA KUHUSU BIFU LAKE NA LADY JAYDEE
Baada ya kutibuana na Lady Jaydee, Mwana FA ameamua kuvunja ukimya na kuwataka mashabiki wachukulie poa maana ni hali ya kawaida tu katika maisha ya kibinadamu.....Ugomvi wa...
View ArticleUNAIFAHAMU ADHA/AIBU YA KUFUMANIWA......ACHA UZINZI TULIA NA WAKO
Hii Tabia ya Kutembea na Waume au Wake za Watu iishe jamani? Mbona Wanaume au wanawake Ma-Bachelor Wapo Kibao? Ukimwi nao hatuuogopi? Kuna Nini Huko Katika Ndoa? Uchunguzi uliofanywa na mtandao huu...
View ArticleMwili wa marehemu Perpetua aliyechinjwa na kutupwa kwenye shimo la taka...
Mwili wa marehemu ukiingia nyumbani kwa jaji Kileo Waombolezaji wakitoa heshima zao za mwisho...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MBEYA MH. KANDORO AMALIZA MGOGORO KATI YA MADIWANI NA...
Serikali Mkoani Mbeya imeumaliza mgogoro uliokuwepo baina ya Madiwani na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbaralali, Abdallah Mfaume, uliodumu kwa miezi kadhaa. Mgogoro huo ulitokana na...
View ArticleJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemfukuza kazi askari wake wa...
WP AmisaJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemfukuza kazi askari wake wa kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni kutokana na utovu wa nidhamu. Kamanda wa Kanda...
View ArticleMR. NICE ATOSWA, CHAMELEONE ANG'ARA MAREKANI
NAIROBI, KenyaKAMPUNI ya Grandpa Records ya Kenya imevunja mkataba wake na mwanamuziki Lucas Nkenda 'Mr. Nice'.Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Refigah Slams amelieleza gazeti la Daily Nation la Kenya wiki...
View ArticleMOURINHO AAMUA KUMSAINI LEWANDOWSKI,TORRES NA BA
LewandowskiKLABU ya Chelsea imehamishia mawindo yake kwa mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Robert Lewandowski katika harakati za kocha Jose Mourinho kusaka kiongozi wa safu ya ushambuliaji.Mourinho...
View ArticleNIMEWASAMEHE WALIONIPIGA NA KUNIVUNJIA KAMERA UWANJANI
NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WADAU WOTE WALIOGUSWA JUU YA MKASA ULIONIKUTA WA KUPIGWA NA KUVUNJIWA KAMERA YANGU WAKATI WA MECHI YA LIGI YA MABINGWA WA MIKOA KATI YA TIMU YA NJOMBE MJI NA KIMONDO...
View ArticleKUJISHUGULISHA NI MUHIMU
Mwajuma Mohamedi akitayarisha samaki katika eneo la njiapanda Mjimpya Manispaa ya Morogoro muda mfupi kabla ya kuwakaanga na kuwauzia wateja wake kiasi cha sh 400 hadi sh 1000 kulingana na ukubwa wa...
View ArticleKUELEKEA MECHI YA STARS V IVORY COAST:KILIMANJARO LAGER YATAKA WATANZANIA...
Na Mwandishi wetuWadhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Kilimanjaro Premium Lager wamewaomba watanzania washikane na kuungana pamoja wakati wa mechi dhidi ya Ivory Coast kutafuta tiketi ya kucheza...
View Article