Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

BLANC AULA PARIS SAINT-GERMAIN (PSG), ABEBA MIZIGO YA ANCELOTTI

$
0
0
Pedigree: Laurent Blanc has previously managed the French national teamShavu hilo: Laurent Blanc alikuwa kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa
Makubaliano ya kuwa kocha wa PSG yamefikiwa leo kati yake na klabu hiyi na sasa ataiongoza kutetea taji la ligi 1 walilotwaa msimu uliopita.
Makubaliano hayo ni kuwa kocha huyo ataifundisha PSG kwa miaka miwili na anatarajiwa kusaini mkataba wiki ijayo.Baada ya dili la Paris Saint-Germain (PSG) kumchukua kocha wa timu ya taifa ya Urusi Fabio Capello kuota mbawa, sasa klabu hiyo imekaa meza moja na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya UfaransaLaurent Blanc ili kurithi mikoba ya Carlo Ancelotti anayetimkia Real Madrid.
Huo ni mpango B kwa PSG kwani malengo yao yalikuwa kwa Capello, na sasa mabingwa hao wameamua kumchukua Blanc mwenye mvua 47 ambaye alikuwa mlinzi wa zamani wa mabingwa wa soka nchini England, Manchester United.
Mtandao wa kimichezo wa beIN ambao unamilikiwa na wamiliki wa klabu ya PSG wa Qatari Sports Investment company ametoa taarifa hizo mapema leo.  
Connections: He spent two years at Manchester United winning the title in 2003Blanc aliitumikia Manchester United kwa muda wa miaka miwili na kutwaa ubingwa wa ligi kuu mwaka 2003

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>