Miami Heat Mabingwa wapya 2013 NBA Championship Ndio Hawa
The Miami Heat have done it again.Yes ni game 7 Chini ya King Lebron James, Miami Heat imeondoka na Points 95 Kwa 88 za San Antonio Spurs. Lebron ametoka na Point 37. Wade nae ametoka na point 23,...
View ArticleANGALIA PICHA YA DADA ALIYEATAKA KUJIRUSHA GHOROFANI
HAUSIGELI ambaye jina lake halikupatikana mara moja, nusura ajirushe chini kutoka ghorofa ya pili kwa kile kilichodaiwa kuwa aliogopa moto mkubwa uliozuka katika jengo la jirani na ghorofa...
View ArticleANKAL ISSA MICHUZI AISHUKURU HOSPITALI YA KILUTHERI YA HAYDOM KWA KUMHUDUMIA...
Ankal akiwa Haydom na na baba mlezi wa Ally Hassan (kushoto) na mjombaSehemu ya mbele ya hospitali ya Kilutheri ya Haydom, ManyaraNachukua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kutoka katika...
View ArticleWEMA SEPETU NA KAJALA MASANJA WAGEUKA "PAKA NA CHUI "....ZILE MILIONI 13...
Utabiri wa wengi kuwa ushosti wa waigizaji masistaduu wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja kutumbukia nyongo unadaiwa kutimia na sasa wametibuana, Habari za ndani kutoka kwa mtu wa...
View ArticleKALAPINA AMALIZA BIFU LAKE NA CHID BENZ AMPA SHAVU KWENYE SHOW YA MIAKA 13 YA...
WAKATI maadhimisho ya miaka 13 ya Kikosi cha Mizinga inatarajiwa kufanyika leo kwenye ukumbi wa New Msasani Club, kiongozi wa kundi hilo, Karama Masoud 'Kalapina' amefichua kumaliza 'bifu' lake na...
View ArticleSIKU YA MAZISHI YANGU WATAJAA WATOTO NA MASHOGA TU"....AUNT LULU
MSANII wa filamu Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa siku akifa anaamini mbali na watu wengine mazishi yake yatatawaliwa na mashoga pamoja na watoto.Akizungumza na mwandishi wetu hivi...
View ArticleMizengo Pinda: Nasema wapigwe tu
Dodoma/Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza vyombo vya dola kuwashughulikia kwa kuwapiga wale watakaokataa kutii amri wakati wakifanya vitendo vya uvunjifu wa amani.Akizungumza katika...
View ArticleMAKAMPUNI YA SIMU YATAPANDISHA GHARAMA ZA MAWASILIANO IFIKAPO TAREHE MOJA...
Kufuatia kuongezwa kwa kodi katika huduma za simu za mkononi , gharama za huduma hizo zinatajiwa pia kuongezeka kuanzia Julai Mosi mwaka huu.Taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na Umoja...
View ArticleTakriban watu 300 wauawa na mafuriko nchini India.
Makundi ya waokoaji yanaendelea kuwatafuta watu walionusurika katika mafuriko yaliotokea katika jimbo la Uttarakhand nchini India, huku maafisa wakisema karibu watu 300 wamekufa.Taarifa zinasema...
View ArticleRais wa Zimbabwe, Robert Mugabe aiomba Mahakama kuu kusogeza mbele tarehe ya...
Rais wa Zimbabwe, Robert MugabeRais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amepeleka ombi katika mahakama ya juu nchini humo kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi kwa majuma mawili, baada ya shinikizo kutoka kwa...
View ArticleRais wa Brazil aitisha mkutano wa dharura kufuatia kufanyika kwa maandamano...
Wananchi wa Brazil wakiwa katika maandamano yaliyoambatana na vurugu nchi nzima wakidai huduma bora za Umma.Rais wa Brazil Dilma Roussef ameitisha mkutano wa dharura wa baraza la mawaziri hii leo...
View ArticleTANSEED KUDHIBITI MAGUGU HATARI YA KIDUHA
KAMPUNI ya mbegu ya TANSEED International yenye makao makuu mjini Morogoro imeandaa maonesho ya shamba darasa ya teknolojia mpya ya mbegu za mahindi ya TAN 222 kukomesha kiduha "trigaway maize"kwa...
View ArticleWaziri mkuu wa Palestina awasilishisha barua ya kujiuzulu wadhfa huo.
Ofisi ya Waziri mkuu wa Palestina Rami Hamdallah (Pichani) imethibitisha kwamba Waziri Mkuu huyo amewasilisha barua ya kujiuzulu.Hatua hiyo inakuja wiki mbili baada ya msomi huyo anayeheshimika...
View ArticleTANZANITE YAWA KIVUTIO GHANA
Kamishina wa Tume ya Utumishi wa Umma Ghana Bw.Robertson Akwei Allotey akiangalia madini ya tanzanite yanayoonyeshwa katika banda la Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) .
View ArticleRAFA BENITEZ ATAMBULISHWA RASMI NAPOLI - ASEMA ASINGEPENDA CAVANI AONDOKE...
Raisi wa Napoli Aurelio De Laurentiis akimtambulisha kocha mpya wa timu hiyo Rafa Benitez Rafael Benitez ametambulishwa na kusema kwamba angependa kuendelea kubaki na mshambuliaji Edinson Cavani...
View ArticleBLANC AULA PARIS SAINT-GERMAIN (PSG), ABEBA MIZIGO YA ANCELOTTI
Shavu hilo: Laurent Blanc alikuwa kocha wa timu ya taifa ya UfaransaMakubaliano ya kuwa kocha wa PSG yamefikiwa leo kati yake na klabu hiyi na sasa ataiongoza kutetea taji la ligi 1 walilotwaa msimu...
View ArticleWafanyakazi Ofisi ya Ubalozi wa Uingereza wapigwa msasa wa Rasimu ya Katiba.
MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Humphery Polepole (kushoto) akitoa mada kuhusu Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania iliyoandaliwa na Tume hiyo kwa baadhi ya wafanyakazi wa ofisi...
View Article