Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

TAMKO TOKA CCM UINGEREZA

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi Logo 05970
Ndugu Mwanahabari
Nimeambatanisha salamu zetu za rambi rambi na tamko letu toka CCM UK (UINGEREZA) kukemea kitendo cha ulipuaji wa bomu katika mkutano wa Chadema Arusha hivi karibuni.
Naomba MTUSAIDIE kufahamisha umma kuhusu tamko letu rasmi
Ushauri wangu binafsi ni kwamba tusilifanye suala hili kiitikadi na kisiasa sana bali tuonyeshe ukomavu kisiasa kwa kuweka uzalendo, utanzania zaidi na kuachia vyombo vya usalama nchini vifanye kazi yake kwa uaminifu na uadilifu bila kuingiliwa au kushawishiwa na malumbano yaliyopo sasa kuhusu kitendo hiki, yanayoweza kuleta dhama zaidi kwa kuamsha hisia zilizopo na zinazoweza kujitokeza kutokana na matamshi yetu.

Nasema haya bila kupinga mawazo ya mtu yeyote mwenye fikra tofauti kwani ni vyema kuheshimu mawazo tofauti yenye nia njema ya kujenga umoja wa watanzania
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles