CRDB Bank PLC Pioneers Agency Banking in Tanzania, Targets the Unbanked...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dr. Charles Kimei akiwaelezea wageni waalikwa nia hasa ya Benki ya CRDB kuanzisha huduma za kibenki kwa njia ya mawakala iliyopewa jina la fahariHuduma.Mkurugenzi...
View ArticleCHAMA CHA ALBINO CHAANZISHA TUZO KUINUA SOKA
Naibu Katibu wa Chama cha Albino Tanzania,Wilaya ya Temeke, Maria Byabato.( wa pili kutoka kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu tuzo maalum ya soka, wa pili (kulia ) ni Mwenyekiti...
View ArticleTAMKO TOKA CCM UINGEREZA
Ndugu MwanahabariNimeambatanisha salamu zetu za rambi rambi na tamko letu toka CCM UK (UINGEREZA) kukemea kitendo cha ulipuaji wa bomu katika mkutano wa Chadema Arusha hivi karibuni.Naomba MTUSAIDIE...
View ArticleMFUKO WA MAMA ANNA MKAPA KUTOA DARASA KWA WAJASIRIAMALI
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote(EOTF), Stephen Emmanuel akimkaribisha Mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Alberic Cacou wakati alipotembelea banda la EOTF katika moja ya...
View ArticleBALOZI IDD SEIF AMTEMBELEA SHEHA ALIEMWAGIWA TINDIKALIHUKO ZANZIBAR...
Balozi Seif Iddi amtembelea Sheha aliemwagiwa Tindikali huko Zanzibar,asafirishwa leo kwenda india kwa matibabu zaidiMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimuaga Sheha wa Shehia ya...
View ArticleHAWA GHASIA AAGIZA HALMASHAURI ZA WILAYA KUUNDA MABALAZA YA WAFANYAKAZI
Na Gladness Mushi wa Fullshangwe- ArushaHALMASHAURI za wilaya nchini zimeagizwa kuunda mabaraza ya wafanyakazi ili kuweza kuyapatia ufumbuzi malalamiko ya wafanyakazi sehemu za kazi na kuboresha...
View ArticleMLIPUAJI BOMU ARUSHA.
Mtoto ambaye alijeruhiwa kwenye mlipuko wa bomu Arusha. ARUSHA: MASHUHUDA wa tukio la mlipuko wa bomu uliotokea mwishoni mwa wiki iliyopita Jijini Arusha, wamedai kumwona na kumtambua mtu aliyehusika...
View ArticleNASSARI: WAZIRI MKUU MSTAFU EDWARD LOWASSA ANAHUSIKA KUNIPIGA.
Mbunge wa Arumeru Mashariki(Chadema) Joshua Nassari akiwa amelazwa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi), jana, baada ya kuhamishwa kutoka Arusha kwa ajili ya kupata matibabu zaidi baada ya kuumizwa...
View ArticleBOMU LAWATESA CCM, POLISI.
IGP SAIDI MWEMA. KATIBU MKUU MPYA WA CCM ABDULRAHMAN KINANA.MLIPUKO wa bomu uliotokea wiki iliyopita katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kwa CHADEMA mkoani Arusha na kuua watu wanne, umeiweka...
View ArticleSERIKALI MKOA WA SHINYANGA YAFUTA BAADHI YA MICHANGO MASHULENI
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Ally N. Rufunga.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 21/06/2013 SERIKALI MKOANI SHINYANGA YAONDOA BAADHI YA MICHANGO INAYOWAELEMEA WAZAZISerikali Mkoa Shinyanga imeondoa...
View ArticlePINDA AMEVUNJA KATIBA, AELEZWA AMEPOTOKA NA KUTAKIWA KUOMBA RADHI.
WAZIRI MKUU MIZENGO KAYANDA PINDA.SIKU moja baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuwataka polisi watembeze mkong’oto kwa watu wanaokaidi sheria na kanuni mbalimbali za nchi, wadau mbalimbali wamesema...
View ArticleGE, Symbion kuzalisha umeme wa gesi Mtwara
Kampuni za GE Africa na Symbion Power Tanzania, zimeingia mkataba wa kutekeleza kwa pamoja mradi wa kuzalisha megawati 400 za umeme wa gesi mkoani Mtwara.Umeme wa mradi huo utasambazwa katika mikoa ya...
View ArticleWAGANGA; WANAWAKE WATEJA WETU WAKUBWA! (
Kuna aina nyingi za limbwata, kuna kaligoligo, shuntama (Maana kwa kiswahili inama) ya Kanda ya Ziwa ambayo akipewa mume, kila atakachoambiwa na mke atafanya. Lakini kuna limbwata ya kisaikolojia...
View ArticleAWAMU YA PILI: MAJINA YA FORM SIX NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA JKT
JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA 2013 NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KATIKA MAKAMBI YA RUVU PWANI, MGAMBO TANGA, MSANGE TABORA, BULOMBORA KIGOMA, MARAMBA...
View ArticleANGALIA PICHA YA MTOTO AZALIWA NA MKIA, MAMA YAKE ALIA AKIOMBA MSAADA
Maajabu ya uumbaji yamemfanya mama mzazi wa Xiao Wei ambaye ni mchina amwage machozi akiomba msaada wa kunusuru maisha ya mwanae mwenye umri wa miezi 7 aliyezaliwa na...
View ArticleSamsung wazindua laptop yenye uwezo wa kutumia windows 8 na android,na...
kampuni ya samsung imetambulisha laptop hi mpya (tablet) iitwayo active q yenye uwezo wa kutumia windows 8 na android operating system,active q ina ukubwa wa screen wa 13.3 inches (33.8cm) yenye high...
View Article