Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Inasherehekea Miaka 47 tokea kuanzishwa kwake Zanzibar
tarehe 30-6-1966.
Bodi ya Wakurugenzi ,Uongozi na Wafanyakazi wake wote wanapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wateja wake wote na Wananchi kwa Ujumla waliochangia maendeleo ya PBZ kwa njia moja ama nyengine hadi leo hii kutimiza miaka 47.
Endelea kutumia Benki ya Watu wa Zanzibar Limited kwa huduma zake imara na bora.
Benki ya Watu, Chaguo la Watu