ANGALIA PICHA NA VIDEO YA NDEGE YA RAIS WA MAREKANI
OBAMA NA FAMILIA YAKE WAKISHUKA KUTOKA KWENYE AIRFORCE ONEVC-25A SAM 28000 Air Force OneAir Force OneAir Force One is the designation of any airplane that serves the President of theUnited States...
View ArticleMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) KANDA YA MASHARIKI WATOA SEMINA YA...
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahamed Kibozi akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya...
View ArticleWAZIRI MKUU AWAMU YA TATU FEDRICK SUMAYE AMPONDA MWENZAKE WA AWAMU YA NNE...
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye amesema anashangazwa na baadhi ya viongozi wa dini kutoa sifa nzuri kwa watu wanaochanga fedha na si kuzingatia uadilifu na wema walionao.Kiongozi huyo alitoa kauli...
View ArticleWaumini wa kishia wauawa Misri
Umati wa washambuliaji walijaribu kuiteketeza nyumba walimokuwa viongozi wa kishiaKiongozi wa madhehebu ya kishia nchini Misri ametoa wito wa kimataifa kuwa waumini wa kishia walindwe , siku moja baada...
View ArticleKampuni za fedha taabani Somalia
Kampuni zinayofanya biashara ya utumaji wa fedhwa nchini Somalia kwa kushirikiana na Benki ya Barclays zimeiomba benki hiyo kutofunga akaunti zao kwani hatua hiyo itafanya maisha kuwa magumu kwa...
View ArticleANGALIA PICHA ZA HARUSI YA WASIWASI MWABULAMBO MTANGAZAJI WA JAHAZI LA CLOUDS...
Harusi ya Wasiwasi Mwabulambo na Janeth ilifungwa kwenye Kanisa La Kilutheri Boko Dar Es Salaam Na Baadae kwenye tafrija iliyofanyika Mbezi Beach siku ya Jumamosi 22/6/2013. Mtandao huu unakutakia...
View ArticleWOLPER NA RAY KUIGIZA KAMA MKE NA MME KWENYE FILAMU MPYA
Waigizaji waliopo orodha A kwenye kiwanda cha filamu nchini, Vincent Kigosi aka Ray na Jacqueline Wolper aka Gambe, wapo location kushoot movie mpya.Kutokana na maelezo ya picha hizo walizoziweka...
View ArticleBREAKING NEWS:- SUGU AMEKAMATWA KWA KUMTUSI WAZIRI MKUU
Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi amekamatwa kwa kile kinachodaiwa ni uchochezi na kumkashifu Waziri Mkuu Mzengo Pinda. Hivi karibuni, Mh. Sugu...
View ArticleMANDELA BADO YUPO MAHUTUTI
NELSON Mandela amekaa kwa siku ya pili hospitalini akiwa mahututi, huku hofu ikizidi kuwa shujaa huyo wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangu huenda akapoteza mapambano yake ya mwisho.Licha...
View ArticleMo awa Mtanzania wa Kwanza kutambulika na Jarida la kimataifa la Forbes Afrika.
-Mo mjasirimali kijana mwenye mafanikio ya kipekee katika bara la Afrika.Na Mwandishi WetuMjasirimali mchapakazi na Mbunge Kijana nchini Tanzania, Mohammed Dewji (MO) ametajwa katika jarida la...
View ArticleOPERSHENI SAFISHA JIJI ENEO LA MANZESE LEO CHINI YA ULINZI WA FFU
ASKARI WA JESHI LA POLISI KIKOSI CHA KUZUIA GHASIA AKIWA KATIKA DORIA LEO ENEO LA MANZESHALI HALISI KATIKA ENEO LA WAFANYABIASHARA ULINZIBAADHI YA WAFANYABIASHARA WAKIWA HAWAJUI LA KUFANYAENEO LA...
View ArticleANDRE SCHURRLE - MCHEZAJI WA KWANZA KUSAJILIWA NA MOURINHO CHELSEA MSIMU HUU...
Jose Mourinho amefungua rasmi akaunti ya Chelsea na kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kijerumani ANDRE SCHURRLE - ambaye leo hii amefaulu vipimo vya afya na kujiunga rasmi na Chelsea akitokea...
View ArticleMH. SUGU AMEACHIWA KWA DHAMANA BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI
MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (SUGU) amekamatwa na Jeshi la Polisi Mjini Dodoma na kuachiwa kwa dhamana.Mwandishi wetu akiwa Mjini Dodoma anasema kwamba Mbunge huyo alikamatwa muda mfupi baada...
View ArticleZECO wakiwa kazini soko la Chakechake
MAFUNDI wa shirika la Umeme Tawi la Pemba, wakiwa katika harakati za kuunyoosha waya mkubwa wa umeme kwa ajili ya kubadilishwa laini katika tasfoma inayotakiwa kuhamishwa, iliyopo kwenye soko la chake...
View ArticleBenki ya Watu wa Zanzibar Yatimiza Miaka 47
Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Inasherehekea Miaka 47 tokea kuanzishwa kwake Zanzibar tarehe 30-6-1966.Bodi ya Wakurugenzi ,Uongozi na Wafanyakazi wake wote wanapenda kuchukua fursa hii...
View ArticleCHELSEA YAFIKA BEI KWA CAVANNI, YALIPA PAUNI 49M KWA NAPOLI
Mshambuliaji wa Uruguay na Napoli, Edinson CavanniKITUO cha Redio cha Napoli, Marte kimetangaza kwamba dau la Pauni Milioni 49.3 limetolewa na Chelsea kwa ajili ya mshambuliaji Edinson Cavani ambaye...
View ArticleMWANAMKE NDIYE ALIYENIFANYA NIINGIE KUVUTA MADAWA YA KULEVYA "UNGA"-IBRA DA...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Kenya Ibra Da Hustler akiwa katika pozi WAKATI kesho dunia inaadhimisha siku ya matuizi ya dawa za kulevya Rapper Ibra Da Hustler amefunguka kuwa sasa anampango...
View ArticleSAKATA LA WAVULANA WALIOOTA MATITI NA JINSI JAMII ILIVYOWATENG
VIJANA watatu wa familia moja ya Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyosababisha kuchekwa na vijana wenzao waliokuwa wakiwaona kuwa ni mashoga.Vijana hao kutoka katika...
View ArticleWATOTO YATIMA WA NGEZE EDUCATION CENTER KUJUMUIKA NA WATOTO WENZAO KATIKA...
Watoto yatima wa kituo cha Ngeze education center kilichopo maeneo ya kinondoni kwa msisiri watajumuika na watoto wenzao katika tamasha la Raha za jana na leo linalojumuisha burudani ya bendi za...
View Article