Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA UONE JINSI WAMAREKANI WANAVYOOMBOLEZA KIFO CHA NELSON MANDELA

Hapa ni makao makuu ya Umoja wa Mataifa Duniani New York City nako bendera inapepea nusu mlingoti kama unavyoona.Jengo la pili kwa urefu New York City linalojulikana kwa jina la Empire State Building...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MANDELA KUVUNJA REKODI

Afrika na dunia inatarajiwa kushuhudia kitu kipya katika maziko ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela (95) aliyefariki dunia juzi, baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi sita.Serikali ya...

View Article


Clinton: 'We had a genuine friendship'

Former President Bill Clinton shares unforgettable moments with Nelson Mandela and their 20-year friendship.

View Article

President Obama Speaks on the Death of Nelson Mandela

President Obama says that Nelson Mandela’s journey from a prisoner to President embodied the promise that human beings, and countries, can change for the better, and asks that we pause and give thanks...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mazishi ya Mandela kuvunja rekodi

Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu  wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson MandelaAfrika na dunia inatarajiwa kushuhudia kitu kipya katika maziko ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chama kipya chataka kukabiliana na changamoto zinazowakabili waandishi wa...

Waandishi wa habari wakihudhuria uzinduzi wa chama cha Waandishi wa habari Wanawake wa Somalia mjini Mogadishu hapo tarehe 25 Novemba, 2013. Na Abdi Moalim, MogadishuChama kipya cha waandishi wa habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIYE TATA MADIBA MSHUMAA ALIOZIMA AFRIKA NA DUNIA KIUJUMLA, HI NI...

 Mandela akiwa ndani ya chumba cha gereza alimokaa kwa miaka 26, hapa alikwenda kutembea baada ya kuwa rais kuachiwa huru.JINA KAMILI: Nelson Rolihlahla MandelaA.K.A: Mandela.MAJINA YA UTANI: Madiba,...

View Article

Mandela's Political Party Faces Historic Crossroad

Nelson Mandela was a member of the African National Congress party when he was elected South Africa's president in 1994. After his death, the ANC faces a struggling economy, a splintered identity and...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA WAOMBOLEZA KIFO CHA MANDELA KWA KUCHEZA NA KUIMBA NYIMBO MBELE YA KAMAZI...

Nelson Mandela, with his wife, Winnie, walks to freedom after 27 years in prison on Feb. 11, 1990, in Cape Town.RAIA wa Afrika Kusini wako kwenye maombolezo kwa siku ya pili hii leo wakiwa kwenye...

View Article


Listen Audio: South Africans Mourn Mandela's Death, Celebrate His Life

South Africa is in deep sadness following the death of former President Nelson Mandela. He died Thursday at the age of 95 following a lengthy illness. Renee Montagne talks to Lydia Polgreen, the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIZIMBANI BADA YA KUWATISHIA KUWAUA WAKWE ZAKE HUKO SONGEA

Jengo la hazina ndogo huko Songea.Mkazi wa Mjimwema, Kasto Komba (45), amepandishwa kizimbani kujibu shitaka la kutishia kuwaua mke na mama mkwe kwa kuwachongea jeneza na msalaba wenye majina yao....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHAMA SIMBA KUTINGA BUNGENI JUMANNE.

WANACHAMA wa klabu ya Simba wanaompinga Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage wataelekea mjini Dodoma Jumanne kwa ajili ya kuonana na Spika wa Bunge hilo, Anna Makinda kuelezea namna Mwenyekiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Mhe Zitto Kabwe akisoma ripoti ya kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu...

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe Zitto Kabwe akito taarifa ya mahesabu ya serikali a huu Bungeni Dodoma  Novemba 7, 2013

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Familia ya Mandela:'Ni kipindi kigumu'

Familia ya Hayati Nelson Mandela imezungumza kwa mara ya kwanza tangu Mandela Kufariki Alhamisi.Wameelezea kuwa katika kipindi kigumu huku wakitarajia wiki moja inayokuja kuwa wakati mwingine mgumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA UNDANI KIFO CHA MANDELA

Mandela akiwa na mkewe Graca Machel ( kushoto ) na mtalaka wake, Winnie Mandela ( kulia…Na. M. M. MwanakijijiMpigania haki za weusi na alama kuu ya udhalimu wa mfumo wa Ubaguzi wa Rangi nchini Afrika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHEL; MJANE WA KIPEKEE DUNIANI

ANAITWA Graca Simbine Machel ni Mmozambique (Msumbiji). Kufuatia kifo cha rais wa kwanza wa Afrika Kusini huru, Nelson Mandela (95) kilichotokea usiku wa kuamkia jana, Graca anakuwa mwanamke pekee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOENDELEA DUNIANI KOTE BAADA YA KUFARIKI KWA...

 Bendela ya Uingereza ikiwa nusu mlingoti kwa ajili ya kuomboleza kifo cha marehemu Nelson Mandela Bendela ya Umoja wa Mataifa ikiwa nusu mlingoti makao makuu huko New York nchini Marekani  kwa ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA: YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA CHADEMA KIBONDO, KIGOMA

 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kwa kushirikiana na wananchi, wakimdhibiti mmoja wa vijana waliofanya fujo katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADIBA NA MAISHA YA KIFAMILIA

…………………………………………………………Wajukuu wa Mandela wakimshangilia babu yao alipokuwa akitimiza miaka 89, mwaka 2008. PICHA | AFPWakati Nelson Mandela anaongoza Afrika Kusini dhidi ya ubaguzi wa rangi na baadaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INDIA, UFARANSA, MAREKANI, CANADA ZAOMBOLEZA KIPEKEE

Bendera za mataifa mbalimbali zikipepea nusu mlingoti jijini Dar es Salaam kuomboleza kifo cha Madiba. PICHA | FIDELIS FELIXJohannesburg. Wakati Bara la Afrika likiendelea na maombolezo ya kifo cha...

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>