NAHODHA WA ZAMANI WA ENGLAND NA MCHEZAJI WA MANCHESTER UNITED BRYAN ROBSON...
Top of the world: Bryan Robson endured -22C temperatures to make the peak of Mount Kilimanjaro for charityTeam-mates: Robson paired up with old pal Kevin Moran when sleeping on the mountain - they even...
View ArticleTAMASHA LA KRISMAS LAFANA UWANJA WA TAIFA, SOLOMON MAHLANGU AWAPAGAWISHA...
Mwimbaji wa muziki wa injili Solomon Mahlangu kutoka nchini Afrka Kusini akiimba jukwaani jioni hii kwenye uwanja wa Taifa katika tamasha kubwa la Krismas lililofanyika jijini Dar es salaam...
View ArticleRATIBA YA LIGI KUU YA UINGEREZA LEO
15:45 Hull City Vs Manchester United18:00 Aston Villa Vs Crystal Palace18:00 Cardiff City Vs Southampton18:00 Chelsea Vs Swansea City18:00 Everton Vs Sunderland18:00 Newcastle United Vs Stoke City18:00...
View ArticleMBONI AJUMUIKA NA WATOTO YATIMA MKOANI IRINGA
Mtangazaji wa kipindi cha Mboni show, Mboni Masimba akimkabidhi zawadi mtoto yatima Ally Mustapha baada ya kuimba vizuri katika mlo uliandaliwa na Mboni katika ukumbi wa Highland hall.Wageni katika...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
“PRESS RELEASE” TAREHE 26.12. 2013.WILAYA YA MBARALI – AJALI YA GARI KUMGONGA MPANDA BAISKELI NA KUSABABISHA KIFO.MNAMO TAREHE 25.12.2013 MAJIRA YA SAA 13:45HRS HUKO MBALIZI, KATA YA BONDE LA SONGWE,...
View ArticleASKOFU AWALIPUA WABADHIRIFU KATIKA IBADA YA KRISMAS
Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo wa Kanisa la Anglikana,Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) akihubiri mbele ya mamia ya waumini wa kanisa hilo jana wakati wa Ibada ya Krismas. Picha na Israel Mgussi....
View ArticleKAKOBE ATAJA CHANZO CHA MAWAZIRI MIZIGO
“Viongozi wa kisiasa wamekuwa hatari, wanajitahidi kutafuta uongozi kwa gharama yoyote ile, hasa kwa kuwarubuni wananchi kwa kuwapa zawadi jambo ambalo si jema na mtu anayefanya hivyo hafai kuwa...
View ArticleMOHAMED MATUMLA AMGALAGAZA NASSIBU RAMADHANI KWA POINT NA KUIBUKA NA PIKIPIKI!!
Bondia Mohamed Matumla kushoto akimwadhibu Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao wa raundi kumi uliofanyika siku ya sikukuu ya krismas na kugombania pikipiki yenye thamani ya shilingi milioni 1.9...
View ArticleUHURU NA DESALGN WAWASILI JUBA
Rais wa Kenya na Waziri mkuu wa Ethiopia wakiwasili JubaJamii ya kimataifa inaendeleza juhudi za kujaribu kusitisha mapigano yanayoendelea nchini Sudan Kusini.Maafisa wa serikali ya Sudan Kusini, mjini...
View ArticleMAN UNITED TAYARI KUVUNJA REKODI YA DAU LA USAJILI KWA REUS WA DORTMUND,...
Itawagharimu sana! Borussia Dortmund wametangaza dau la pauni milioni 40 kumnunua kiungo wao Marco Reus, ambaye anawindwa na Manchester United katika dirisha dogo la usajili januari mwakaniNa Baraka...
View ArticleGARI LAKAMATWA LIKIWA LIMEBEBA MAITI YENYE DAWA ZA KULEVYA MKOANI MOROGORO
Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro,Faustine Shilogile akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).Hizi ndio baadhi ya Pipi zilitolewa tumboni mwa Marehemu Khalid Kitala.Baadhi ya Makachero wa Polisi...
View ArticleMECHI YA MAJARIBIO TIKETI ZA ELEKTRONIKI SAA 10!!
Mechi ya kujaribu matumizi ya tiketi za elektroniki kati ya Azam na Ruvu Shooting inachezwa leo (Desemba 26 mwaka huu) saa 10 kamili jioni Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.Viingilio katika mechi hiyo...
View ArticleWAZIRI MKUU MHE. PINDA AHUDHURIA IBADA KIJIJINI KWAKE KIBAONI
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na watoto baada ya ibada ya Krismasi iliyofanyika kijijini kwa Waziri Mkuu, Kibaoni wilayani Mlele, Katavi Desemba 25,2013. (Pichana Ofisi ya Waziri...
View ArticleNYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MKOANI LINDI
Nyumba ya moja mali ya Mzee Nampembe,Mkoani Lindi. imeteketea kwa moto jana Usiku na kupelekea baadhi ya mali zilizokuwemo ndani ya nyumba huyo kushindwa kuokolewa. Hali hiyo ilipekekea Wananchi wa...
View ArticleYALIYOJIRI WAKATI WA ZIARA YA RAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI KATIKA...
Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Khadija Mwinyi wakifurahia mashada ya maua wanayopewa baada ya kuwasili California. Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mama Khadija Mwinyi...
View ArticleLIGI KUU ENGLANG MAN UTD WAICHAPA HULL CITY 3
Hull 2 Manchester United 3Time to celebrate: Man United have moved to within five points of leaders Liverpool having played a game moreAll white on the night: The own goal came from Ashley Young's...
View ArticleLUNYAMILA AENDELEA KUPATA NAFUU.
Abdallah Bin Kleb, Mohamed Bhinda, Juma Kaseja, Dr Nassoro Ally Matuzya, Kaise Edwin wakiwa nje ya wodi aliyolazwa mchezaji Edibily Lunyamila siku moja kabla ya Xmass wallipokwenda kumjulia hali...
View ArticleMWILI WA ALIYEKUWA KOCHA WA MAKIPA SIMBA MAREHEMU JAMES KISAKA WAAGWA JIJI DAR
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kocha wa makipa wa Simba, marehemu James Kisaka likiingizwa kwenye basi la klabu hiyo, baada ya kutolewa heshima za mwisho katika misa iliyofanyika katika Kanisa la...
View Article