LIGI KUU ENGLAND :ARSENAL WAICHAPA WEST HAMA GOLI 3 WAJICHIMBIA KILELENI
Yellow peril: Arsenal came from a goal down to win at Upton Park on Boxing DayBrace yourself: Theo Walcott completes the Arsenal fightback after scoring his second goal of the afternoonBack on terms:...
View ArticleWAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI TAMASHA LA KRISMAS WASUUZA MIOYO YA MASHABIKI...
Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba katika tamasha la Krismas lililofanyika leo kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro likishirikisha waimbaji mbalimbali wa muziki huo hapa nchini na...
View ArticleLIGI KUU ENGLAND MAN CITY WAILAZA LIVERPOOL
Man City 2 Liverpool 1City slicker: Alvaro Negredo (right) celebrates after scoring the decisive goal for Manchester CityStrike: Negredo lifts the ball over the oncoming Simon Mignolet, who made a hash...
View ArticleWATOTO 15 WATINGA FAINALI ZA SHINDANO LA “MO KIDS GOT TALENT 2013″, FAINALI...
Lango kuu la kuingilia kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar panapofanyika shindano kali la kusaka kipaji cha SUPA STAA wa watoto na vijana! la “MO Kids Got Talent 2013″.Wazazi...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
“PRESS RELEASE” TAREHE 27.12. 2013.WILAYA YA RUNGWE – AJALI YA GARI KUMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU KUSABABISHA KIFO.MNAMO TAREHE 26.12.2013 MAJIRA YA SAA 20:10HRS HUKO ENEO LA KATUMBA, KATA YA KATUMBA,...
View ArticleMBUNGE FILIKUNJOMBE ATIMIZA AHADI ZAKE KWA KANISA LA ANGLIKANA ILELA LUDEWA
Waumini wa Kanisa la Anglikana Ilela Ludewa wakimshangilia mbunge wao Deo Filikunjombe wakati akitolea ufafanuzi wa misaada anayoitoa kanisani hapo wakati wa ibada ya KrismasMmoja kati...
View ArticleLIPUMBA: HALI YA UCHUMI NI MBAYA, SERIKALI ICHUKUE HATUA
Mwenyekiti Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba akizungumza na waandishi wa Habri jijini Dar es Salaam jana wakati akitoa tamko la kulaani kwa kitendo cha Naibu Spika wa Bunge la...
View ArticleASHANTI, JKT RUVU KUJARIBU TIKETI ZA ELEKTRONIKI JAN 1!!
Moja ya Kikosi cha JKT Ruvu ya Pwani katika mechi za nyuma. Picha MaktabaTimu za Ligi Kuu za Ashanti United na JKT Ruvu Stars zinapambana Januari Mosi mwakani kati moja ya mechi za kujaribu matumizi ya...
View ArticleWATEJA WA VODACOM WALIVYOJIRUSHA KILA KONA YA JIJI LA DAR WAKATI WA SIKUU YA...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume "Chege "akionyesha umahiri wake wa kutawala jukwaa wakati wa Tamasha la Cheka Bombastiki lililofanyika katika ufukwe wa Coco beach jijini...
View ArticleGazeti la Mtanzania latinga tena mitaani kwa kishindo
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Ansbert Ngurumo (kushoto), akisoma nakala ya kwanza ya gazeti la Mtanzania baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa miezi mitatu na Serikali. Kulia ni...
View ArticleNI KWELI JACKIE CLIFF NDIYE ALIYE KAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO MACAO...
Jackie akiwa kwenye picha na rafiki yake Cheif Rocka aliye thibithisha habari za kukamtwa kwake huko China. Amesema huyu ni Jackie na hakuna ubishi ubalozi pia umethibithisha habari hizo. Sikiliza kwa...
View ArticleSAMSUNG YAKABADHI RASMI GARI KWA MSHINDI WA PROMOSHENI YA PAMBIKA NA SAMSUNG
Mshindi wa zawadi ya promosheni ya Pambika na Samsung Bw Juma Musa Ramadhani akiwa ndani ya gari lake jipya aina ya Mitsubishi Double Cabin mara baada kukabidhiwa rasmi katika hafla Maalum ya...
View ArticleASASI YA "NEW LIFE IN CHRIST" YAKABIDHI MISAADA MBALIMBALI YA KIBINADAMU KWA...
Mkurugenzi wa Doricas Aide International - Tawi la Tanzania, Bi. Stella Sozigwa(kushoto) akikabidhi Misaada ya Kibinadamu ya Wafungwa Waliopo Magerezani kwa Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John...
View ArticleMSIBA; MFANYAKAZI WA CBE -DODOMA AFARIKI DUNIA
MAREHEMU SELINA MAKINGI (MAMA ADAM)Serikali ya Wanafunzi Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dodoma (COBESO) Imepokea taarifa za kifo cha Mfanyakazi wa Chuo Marehemu Selina Makingi (Mama Adamu)...
View ArticleMKE AMUUA MUMEWE KWA KUMPIGA NA KIKOMBE KICHWANI HUKO MBURAHATI JIJINI DAR..
Amos Joseph enzi za uhai wake.SHETANI anazidi kuuatamia ulimwengu! Mama mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Farida mkazi wa Mburahati jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudaiwa kumuua...
View Article